Kesho ni siku ya Muungano(wastage of time and money).
Lini kundi ndani ya CCM hasa Wabunge waseme enough is enough kama akina Njelu Kasaka na G55?
Kama wewe mbunge wa CCM unawakilisha watu poor huko say Kigoma,Dodoma,Mtwara etcunakubali serikali yako kugharimia watu wa Zanzibar?