Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,484
Wazo la Kuudhi: Wapo makamanda wa Polisi (mfano Kamuhanda na Sabas) na Wakuu wa mikoa (mfano Mulungo) ambao kwa kweli wangekuwa wanapendwa sana na wakoloni! Wangeweza hata kupewa nishani kwa "utumishi uliotukuka". Nina uhakika maafisa waliomkamata Nyerere na kumfikisha Mahakamani kwa uchochezi mwaka 1958 walijiona wametumikia vyema "the Crown"...Historia ina tabia mbaya sana... ya kujirudia rudia!