Iringa muungeni mkono mh. Msigwa

Iringa muungeni mkono mh. Msigwa

paul nsangu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
179
Reaction score
32
Watu wa Iringa pasipo kujali itikakkadi zenu za kisiasa muungeni mkono sana Mhe. Msingwa katika hili la wafanyabiashara wadogo wadogo pale Mashine Tatu kwani kwani maisha yenu na hatima yake yapo mikononi mwenu ninyi wenyewe mfano mzuri igeni wenzenu wa Arusha, Mbeya na Mwanza.

Mimi na watakia yote mema thank you.
 
Tatizo la akili za kushikiwa,aungwe mkono kwani umevunjika?Fanyeni kazi,acheni kuchezeshwa ngoma msioijua midundo yake.
 
Tatizo la akili za kushikiwa,aungwe mkono kwani umevunjika?Fanyeni kazi,acheni kuchezeshwa ngoma msioijua midundo yake.

INA MAANA WEWE KWAKO NI KUBISHI TU KILA KITU?.MAENDELEO GANI YA MAANA AMBAYO UMEYAFANYA TANGU UZALIWE HADI HAPO ULIPO SASA, na UME-LOSE VINGAPI HADI SASA KWA KUSEMA UKWELI KWENYE SIASA HATA SIKU MOJA?.
 
Tatizo la akili za kushikiwa,aungwe mkono kwani umevunjika?Fanyeni kazi,acheni kuchezeshwa ngoma msioijua midundo yake.
nepi na weka mbali na tembo ndio anawachezesha ngoma msio ijua,mnakata viuno kwenye majukwaa wakati tembo wetu wanaisha....shame!!!!
 
huyo anamaisha marefu sanaa katika jimbo letu magamba wanajua sana tunasubiri ela za mabox toka kwa LUKOSI zije tule MSIGWA tunajua anatufanyia nini watu iringa jimboni hasa vijana wa miyomboni na ela za mama JESCA tunazila kweli kweli mpaka raha magamba bwana hawana akili wanafikiri uongozi kutoa hela badala ya maarifa kwa mwananchi
 
Mbona mie leo NIMEUNGA sukari UJI wangu wa asubuhi? Kwani UJI wangu ulikuwa UMEVUNJIKA?
Tatizo la akili za kushikiwa,aungwe mkono kwani umevunjika?Fanyeni kazi,acheni kuchezeshwa ngoma msioijua midundo yake.
 
Hawa jamaa kwenye ile thread ya CHADEMA yashinda uchaguzi wa wenyeviti wa vjiji huko Morogoro hawakuonekana, walikuwa wanachungulia kama wageni,
 
Back
Top Bottom