Unajua najiuliza sana. Kwa nini kila skendo kubwa ya nyara za serikali inaishia hewani? Je, kama ilivyokuwa EPA, serikali ina mkono katika suala la nyara za serikali?
Juzi tumesikia majibu mepesi...
Ndugu Wanabodi
Kuna bahadhi ya kauli zimekuwa zikitumiwa mara kwa mara bungeni na wabunge wanaotokea Tanzania Bara.
Maneno kama ya Kuhoji kuna mawaziri/naibu wangapi katika serikali ya JMT...
Tamka mbele ya watanzania kesi inayowakabili kina Hassanou ya mwaka 2012 juu ya makontena mawili yaliyokamatwa hong kong, si ile ya vietnam na magogo mwaka 2009 pia kampuni yake Kinana...
Hawa hawaitakii Mema Nchi yetu hata kidogo
Ikiwa kila kiongozi tutamwangalia tukiwa tumevaa miwani ya dini hatutaendelea hata siku moja. Na bahati mbaya zaidi hata dini zenyewe hatuzifahamu kwa...
Mwenyekiti wa Mwanza Press Club (MPC) akizungumza na waandishi wa habari ambapo chama hicho kimeandaa harambee ya kuchangisha shilingi milioni 100,000,000/= kwaajili ya kununua mtambo wa kuchapa...
Kuna wimbo wa Richmond ulimbwa umeishia wapi?
Kuna Twiga walisafirishwa wakiwa hia imefikia wapi?
Kuna kelele kuwa kuna hujuma inafanyika migodini imeshughulikiwaje kujua ukweli?
Kuna hili la...
Mh. Rais KIkwete,
Kwanza nikupe pole kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuongoza TAIFA. Kwa miaka 8 sasa umekuwa ukisafiri mchana na usiku kutafuta misaada na connections kwa ajili ya Taifa letu...
Chadema Blog: Wasomi Chadema wajipanga kuwang'oa Lukuvi, Wassira
Wanafunzi 16 wa vyuo vikuu vya mkoani Morogoro, wametangaza nia yao ya kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa ukiwamo ubunge...
Wala hakuna asiejua kwamba hivi karibuni tanzania na watanzania kwa ujumla tumeshuhudia wanyama wazimawazima tena warefu kama twiga na wengineo wakitoroshwa usiku wa manane pale uwanja wa ndege wa...
Mheshiwa Sugu ni miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kwa kishindo kiasi kwamba wananchi walifulika eneo la kuhesabia kura kulazimisha matokeo yatangazwe halaka na ikawa hivyo Sugu akawa mbunge...
Ikiwa kila kiongozi tutamwangalia tukiwa tumevaa miwani ya dini hatutaendelea hata siku moja. Na bahati mabaya zaidi hata dini zenyewe hatuzifahamu kwa kiwango kizuri ukilinganishana na hao...
Kwa ratiba ya Tume ya Katiba mpya inayoongozwa na Justice Joseph Warioba, leo ndiyo siku ya kwanza kuanza ku-print draft ya Katiba mpya.
{SOURCE: RAIA MWEMA: February 06, 2013, pg. 2}
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA
MWAKA 1977
(SURA YA 2)
________
KANUNI
________
[Zimetungwa chini ya Ibara ya 89]
_______
KANUNI ZA KUDUMU ZA BUNGE, TOLEO LA 2007
_______
...
ni bora kuwatetea tembo na wanyama wengine wanaopigwa na wasioweza kujitetea..,mtu anaweza kujitetea mwenyewe.,hotuba ya malisasili inaelezea mafanikio na matatitizo yaliyosheheni katika wizara na...
Nafikiri wana JF tumepitia kwa kina na kujadili pia juu ya sakata la Pembe za Ndovu naomba tulinganishe Kauli hii ya waziri Nchimbi na hali halisi ya matukio haya je vinashabihiana?
Dk Nchimbi...
Wananchi wa Arusha na Viunga vyake mnakaribishwa kwenye mkutano wa Hadhara utakaofanyika viwanja vya Ngarenaro Shule ya Msingi kesho tarehe 2 kuanzia saa nane mchana. Mambo mbalimbali yatajadiliwa...
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akisema kuwa chama chake sasa hakitawapokea na kuwapa nafasi za uongozi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wana JF habari za usiku,
Imekuwa ni desturi ya CCM toka mwaka 2005 kuiba kura, mwaka 2010 ndo kabisa na watanzania tukaombwa kuwa watulivu na viongozi wetu wenye wervu wa CHADEMA na kuahidi kuwa...
Wanajamvi siku 2 sasa zimepita toka Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba atoe tamko mbele ya waandishi wa habari na akisisitiza kauli yenye utata na giza nzito ya kwamba Tume yake itafanya...