jonaleemanson
Member
- Sep 21, 2010
- 73
- 70
Wala hakuna asiejua kwamba hivi karibuni tanzania na watanzania kwa ujumla tumeshuhudia wanyama wazimawazima tena warefu kama twiga na wengineo wakitoroshwa usiku wa manane pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (kia). Nataka kuskia kauli ya waziri wa maliasili na utalii twiga wetu na wanyama wengine wako wapi?nataka serikali ijue nina hasira ila sina jinsi ya kufanya zaidi ya kusubiri sanduku la kura.