funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,922
Vyanzo vyangu vinaniambia kijana huyu aliyeingia kwa mbwembwe jijini Arusha amejikuta katika nyakati ngumu baada ya kupoteza uungwaji mkono na makundi mbalimbali hapa Arusha.
Makada wa CCM
hili ni kundi la kwanza ambalo halijamkubali hasa kwa kuwa ameletwa kupambana na mwamba wa kaskazini ndugu edward lowassa.failure ya kwanza ni kushindwa kuzuia 'mtu' wa Lowassa kuchaguliwa kuwa MNEC taifa hasa kwa upande wa vijana.
Pia tukio la Lema linazidi kusmear image ya chama ndani ya Arusha.
Pia amekua ni mtu wa dharau,jazba na vitisho dhidi ya viongozi wa chama hasa madiwani na wenyeviti wa halmashauri.
WATUMISHI WA UMMA
Huyu kijana kama ilivyo hulka yake amekuwa na mbwembwe nyingi,matusi,dharau,vitisho,ujuaji na kupenda sifa dhdi ya watumishi wa serikali.anapenda kuwatukana wakurugenzi,wakuu wa idara mbalimbali au hata watumishi wa chini asiokuwa na mamlaka nao directly.ametishia kufukuza watumishi kazi kwa mambo asiyoyajua undani wake,anapenda kutumia media kuwadhalilisha watumishi wa serikali n.k
Anajaribu kuwatwisha watumishi zigo la kufail kwa chama jambo ambalo linawafanya watumishi kumchukia yeye na chama.
WANANCHI WA ARUSHA
Hapa sisemi sana kwani mmejionea wenyewe katika sakata la Lema na chuo cha IAA.pia kama mkijikumbusha kupitia threads mbalimbali kuhusu arusha na wafanyabiashara ndogondogo utagundua jamaa alivyojijengea uadui mkubwa.
Yote kwa yote mkuu huyu wa mkoa anaponzwa na hulka yake ya dharau,kiburi,ujuvi,ubabe na kukosa busara.
Kwa sasa namuona RC huyu amebakia na support ya RPC ambaye mara nyingi amekuwa kama bodyguard wa RC.
Nawasilisha.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA