Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr H. Makyembe miaka michache tu iliyopita alikuwa ana haiba, heshima,ushujaa na uzalendo ndani na nje ya bunge ambao watanzania nadhani bado tunakumbuka. Tume yake iliyompukutisha Edward...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tarehe 23 mwezi aprili mwaka huu majira ya saa mbili usiku nilipokea ujumbe wa maandishi katika simu yangu kutoka kwa jamaa yangu mmoja akinishtua niangalie habari katika chaneli ya ITV. Wakati...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amewatumia salamu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela akiwataka wasithubutu kuvuruga uchaguzi...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
JF......! Mimi kama mwanaCHADEMA na mdau wa elimu naomba kutoa angalizo na ushauri kwa viongozi wangu wa CHADEMA juu mapendekezo ya tume ya Pinda na msimamo/ uamuzi wa Serikali ktk kuyafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika tetesi nilizozipata ni kuwa bajeti ya waziri asiyekuwa na wizara maalum wabunge wamepanga kutoipitisha. Mwandosya ni waziri pekee ambaye hana ofisi wala katibu mkuu hivyo inakuwaje apangiwe...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamisi Kagasheki ameendea kumvua nguo waziri kivuli wa Wizara hiyo, Peter Msigwa. Mheshimiwa Kagasheki amelaani kitendo cha Msigwa kutumia muda mwingi katika...
0 Reactions
156 Replies
10K Views
Wanajamvi, Nipo mahakamani kufuatilia mwenendo wa rufaa iliyokatwa na Dr. Kafumu (CCM) dhidi ya Mwl. Kasindye (CHADEMA). Ikumbukwe Dr. Kafumu ambaye alishinda ubunge wa jimbo la Igunga katika...
9 Reactions
82 Replies
10K Views
Ndugu zangu wanajamvi kwanza niwasalimu. Ni siku nyingi cjajitokeza hapa jamvini katika kujadili maswala mbalimbali yanayolihusu Taifa letu.Hii ni kutokana na hali yangu ya kiafya kutokuwa nzuri...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikifuatilia kilio cha CCM na wana CCM wake kuanzia majukwaani, Bungeni, kwenye mitandao na hata sehemi nyingine wanazo pata upenyo wa kuongea. Ni nadra sana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi nilipata sms moja kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa Mratibu wa Mwanza Press Club (Soko) akiomba nitoe mchango wa shilingi Elfu Hamsini kama mchango wangu wa kuchangia ununuzi wa mtambo wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hong Kong seizes $400,000 ivory from Tanzania, Kenya Thursday, 02 May 2013 10:16 The Citizen Upon X-ray image analysis, the consignment was detected to contain...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kasi kubwa ya matukio ya wananchi kujichukulia hatua imeendelea na taarifa zinaonyesha kuwa matukio hayo yameongezeka mwaka jana kulinganisha na ya mwaka juzi. Taarifa zimeonyesha kuwa licha ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
CCM MNAOWAPENDANA KUWASIFIA NI MAWAKALA WENU NDANI YA UPINZANI! CCM Mmeelemewa,sasa hivi wana CCM wotemnasifia siasa safi za NCCR-MAGEUZI,UDP na CUF kwakuwa mlifanikiwa kuwauakirahisi kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Wana JF Naomba mnijuze maana nashindwa kupata jibu sahihi hivi Ni kwa nini tumewachagua wabunge kutuwakilisha bungeni endapo hata kile wanachopaswa kuwatetea waliowapeleka inakuwa ngumu? Hivi hoja...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Kama ilivyowasilishwa na Mhe. William Lukuvi KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU TAARIFA YA AWALI YA TUME YA TAIFA YA KUCHUNGUZA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninasikiliza sherehe za May mosi, na ni kama mara mbili hivi nasikia wasoma risala wanaanza kwa kumtaja Mheshimiwa Rais, anafuata Mheshimiwa Mama Salma Kikwete na baadaye Waziri. Ninajiuliza...
1 Reactions
70 Replies
9K Views
LEMA MBELE YA WAPIGA KURA WAKE ASEMA YALIYOJIRI CHUO CHA UHASIBU, CHADEMA YATAJA KIKOSI CHAKE CHA MAANGAMIZI KATA NNE ZA UDIWANI ARUSHA. May 2, 2013 · by Jesse Rutahigwa · in OVERHEARD...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
ITV imeripoti kua tembo 7 kutoka Kenya wameuawa, wilayani Rombo walipokua wanavuka kutoka hifadhi ya Tsavo, na mizoga yao imekutwa bila meno yao (ndovu). Je kuna uhusiano wowote wa hizi ndovu na...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
JAMANI, MAJAJI watajwe kwenye katiba mpya kwamba wachaguliwe, ili kuwa na independence of judicially nzuri na pia kuwe na discouragement ya rushwa kuliko ilivyo sasa. pia tutapata majaji wenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…