Katika hali isiyotegemea, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Kimewavua uongozi na Kuwatimua Uwanachama Pasco na Felex Nzala.
Sababu zilizoainishwa ni wao kuwa Chanzo cha CHADEMA Kushindwa vibaya...
Habari?
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana ktk mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wanaishutumu, kuishambulia, kukosoa, kuhitaji ufafanuzi na hata hufika mahali hujenga maneno ya mzaha na...
Wana JF,
Nimefuatilia mjadala wa jana wa Bunge letu kati ya kambi ya upinzani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu uundwaji wa mabaraza ya katiba ya Wilaya. Imeonekana dhahiri kuwa kuna mahali...
Nimekuwa nikifuatilia shughuli zinaoendelea katika vikao mbali mbali vya bunge hapa nchini na kwakweli lazima nikiri kuwa nimejiukuta navutiwa sana na baadhi ya wabunge wanaojua kuwa wamekwenda...
HUU MKOA NA HALMASHAURI HIZI ZINAZOIBUKA KAMA UYOGA, ZITAACHWA YATIMA…!!
UTANGULIZI.
Mh. Waziri mkuu, kwanza nianze Kwa kukupa pole na changamoto zinazoikabili ofisi yako na majukumu...
Hainiingii akilini wanaccm bungeni kukataa ukweli usiopingika,huu mchakato hauna mashiko na wanachi wa kawaida tumeshalijua na sasa wajipange kwani hatuko tayari kwa hili na linaongeza nguvu kwa...
Tanzania inaweza ikawa ni ajabu ya 8 ya Dunia..
Kuwa na Waziri ambaye hana Wizara Maalum huku akilipwa stahiki zake zote, na vilevile bila kusahau wasaidizi wake.
Niliisoma vizuri sana makala ya Mzee Mwanakijiji kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana au juzi. Makala yenye kusema anatoa karipio kali kwa Chadema kuhusu haya yanayoendelea sasa. kiukweli...
Ndugu zangu watanzania na wana CCM wenzangu .Kwa mara nyingine tena nimeona maamuzi ya kimabavu lakini ya kuijenga Chadema kwa Makinda kukataa muongozo wa Tundu Lussu juu ya idadi ya wabunge...
Watanzania tumekuwa watu wa malumbano na taratibu ambazo haziishi! Katiba imegeuka kuwa drama kubwa wakati kila mtu akijua ni kitu gani kinahitajika kufanywa. Je Katiba mpya ya Kenya inakasoro...
Umezuka utamaduni wa baadhi ya Vijana wa Lumumba kuja JamiiForums na kuanza kutushambulia wana CCM wenye kukosoa Chama kutokana na kuzidi kukosa mwelekeo kwa zaidi ya miaka 20 sasa; Wana Lumumba...
Wadau mnamuonaje Dr. Salim, kwa uadilifu wake na taswira na haiba yake Kitaifa na Kimataifa haimtoshi kuongoza Nchi yetu ya Tanzania kwenye ngazi ya Urais?
Wana Jamvi;
Nimebahatika kuona tamko la viongozi wa Dini ya Kikristo kwa Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wake na viongozi hao tarehe 23.04.2013.
Naleta kwenu kama lilivyo ili kuona namna...
ccm wanapambana katiba mpya itakapo kamilika isiwe na kipengele cha kwenda kupinga ushindi wa raisi mahakamani na hili liko wazi...ndo maana wanapambana kwa njia zozote zile lifanikiwe kwa sababu...
CHADEMA sasa ni zaidi ya chama kikuu cha upinzani nchini. Bungeni ikiwa na Wabunge 48 ambao ni sawa na asilimia 13.445 ya Wabunge wote 357,inafanya mambo makubwa. Inabuni,inahoji,inajenga hoja na...
Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake...
NIlitaka kuandika kwa kirefu lakini nimeonelea niandika kwa ufupi tu:
Mahakama itatakiwa kufutilia mbali kesi ya Lwakatare na Ludovick mara moja. Wahusika mbalimbali wa kesi hii (wengine...