PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

PICHA: Lipumba alivyofunika Tabora jana

kigu

Senior Member
Joined
May 27, 2012
Posts
183
Reaction score
74
PROF Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi Tabora jana.
attachment.php


======

attachment.php



photo 3 lip.jpg
lipumba tabora.jpg phot lip 2.jpg
 
sio mbaya lazima kila chama kijiaandae vizuri KWA 2015, big up mzee LIPUMBA
 
Hivi kumbe CUF ipo hai mbona siwasikii kabisa? Keep it up Lipumba.
 
HUYU huyu mgombea Uraisi wa CUF hahahahaah wale wale CCM B, nilijua wabakia na bendera tu
 
Uhura wa tanganyika ulianzia tokea tabora. Hivyo ni vizuri CUF kusoma historia na kujijenga tabora ili walete ukombozi wa kweli wa wananchi.
 
Laiti tv zingekuwa hazina upendereo Lipumba anatisha na hapo Ndio makabwela wanachangishana kufanikisha mikutano Hongera Lipumba hapo kada Wa ccm sabodo anaewapa pesa chadema WANa Siri gani na ccm
 
nyie chongeni, lakini prof Lipumba anafanya kweli,
 
Safi Sana full bright visiting professor of economy riflext mh Lipumba hapo anaeleza sera tatizo la nchi niñi tufanye cuf haishindanishi Ukubwa Wa sauti na chadema
 
...huyu mzee namkubali katika mambo ya uchumi lakini siasa hapana,aagalie uwezekano wa kuachana nayo abaki kuwa mshauri wa mambo ya uchumi...
 
Lipumba dai tume Huru unabeba nchi we unaibiwa Kura duuu hi hatari big up je cd zipo tusikie sera zake za tabora
 
nyie chongeni, lakini prof Lipumba anafanya kweli,

hatumkatai lipumba mkuu tunamheshimu na kumpenda sana tunamuombea akiimalishe chama chake ili tuwatoe maccm, tatizo ushirika wao na ccm ndo unatutisha sisi!
 
wadau angalieni hizo picha vizuri.mtagundua kuwa zimechukuliwa angle moja tu na hakuna kitu...yaani hata watu wangeamua kucheza dance ya salsa wangeweza kulivyo na magap
 
kila la kheri mzee lipumba endelea kujipanga mambo yanasonga.
 
wadau angalieni hizo picha vizuri.mtagundua kuwa zimechukuliwa angle moja tu na hakuna kitu...yaani hata watu wangeamua kucheza dance ya salsa wangeweza kulivyo na magap

sasa unatushauri nini mwenzako yupo sehemu ya tukio na katuma picha wewe unabisha na hauko kwenye tukio watanzania mpoje?
 
Back
Top Bottom