Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Hoja iliyokuwepo mbele ya Bunge jioni hii ya leo iliyotolewa na Tundu Antifasi Lisu ya kuwa jeshi la polisi, wakuu wa mikoa na Wilaya wanatumika kuwalinda CCM pale wanapofanya mambo ya ovyo hawachuliwi hatua zozote zaidi wanapongezwa bila kuchukuliwa hatua yeyote
Hii hoja waziri wa mambo ya ndani Nchimbi ameipinga kwa nguvu zote pamoja na wabunge wengi wa CCM mpaka aliposimama Sitta na kumsihi Spika Makinda aiangalie kwa makini hoja hii nzito ambayo wapinzani wanalituhumu jeshi la polisi kutumika vibaya
Hoja hii iachwe mpaka siku nyingine ili kupata muda mzuri ili kuijadili hoja hii
Ahsante mzee Sita kuliona hili