Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

socratess

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
37
Reaction score
22
Mawakili wa CHADEMA kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa CHADEMA.

Naomba wadau tujadili
 
Mawakili wa Chadema ni private, hivyo kula yao na ishi yao inategemea kazi yao ya uwakili. Hivyo wanatakiwa muda wote kuwa very creative ili ku create confidence kwa customers wao. Wakifanya mchezo watakosa soko.Kumbe wa serikali wapige blabla wasishinde kesi yote sawa. Mshahara umeshakuwa established.
Sheria ni research na creative basi!
 
Eti ushahidi atatoa hata kwa Mungu, ana laana huyu! Yawezekana kalala na mama yake
 
Mwigulu hana hata aibu ya kutengeneza kama anavyotengeneza kesi zake. Ushahidi aupate wapi labda ushahidi wa tindikali Igunga kwa kuwa ni yeye ndiye aliyewatuma watu.
 
Kesi zinasukwa hivyo haziko realistic, pia mawakili wa serikali mshahara na masurufu mengine ni confirmed!
 
The answer is OBVIOUS.

Kwa serikali za Kiafrica, mawakili wazuri huwezi kuwapata serikalini. Wengi ambao wako serikalini wanakuwa hawana uwezo wa kupambana mitaani na kutengeneza pesa kwa sababu uwezo wao kitaaluma ni mdogo.

Pesa inatengenezwa na mawakili wa kujitegemea mitaani lakini siyo na mawakili wa serikali wanaotegemea malipo ya serikali.
 
Asante mkuu umeongea fact.
Serikalini posti nyingi ni za mchongo na si kwa merit.
Watu wanafuatilia kwa makini sana, ingekuwa kesi ni za kisiasa tu mbona hata Zombe kashinda kesi yake?
pInaelekea wanasheria wa seriksli hawana umakini wa kazi yao.
 
Wengi wao ni watoto wa mjomba, shangazi na baba mdogo hakuna kitu hapo
 
Wengi wao ni watoto wa mjomba, shangazi na baba mdogo hakuna kitu hapo
 
Mawakili wa Chadema ni private, hivyo kula yao na ishi yao inategemea kazi yao ya uwakili. Hivyo wanatakiwa muda wote kuwa very creative ili ku create confidence kwa customers wao. Wakifanya mchezo watakosa soko.Kumbe wa serikali wapige blabla wasishinde kesi yote sawa. Mshahara umeshakuwa established.
Sheria ni research na creative basi!

Uchambuzi wako sio wa kweli hata kidogo. Briefly, uliyoandika ni upuuzi na uelewa mdogo wa kufahamu kazi za wanasheria wa Serikali na hao unaowaita binafsi.

Note that wanasheria wote wanafanya kazi moja au zaidi pasipokujali ni serikalini au binafsi.
 
Asante mkuu umeongea fact.
Serikalini posti nyingi ni za mchongo na si kwa merit.
Watu wanafuatilia kwa makini sana, ingekuwa kesi ni za kisiasa tu mbona hata Zombe kashinda kesi yake?
pInaelekea wanasheria wa seriksli hawana umakini wa kazi yao.
Mkuu, Kila siku huwa ninashangaa sana pale ninapoona watu wanapotoka mahakamani na kusema HAKI IMETENDEKA kana kwamba sheria ni black and white.

Wajuzi wa kucheza na LEGAL TECHNICALITY ndiyo mara nyingi huwa wanashinda kesi mbali mbali na ndiyo maana kuna mawakili ambao legal advice fee yao tu kabla ya kuisimamia kesi hata middle income earner and few higher income earner hawezi hata kukabiliana nayo.

Take Lwakatare case. Mashitaka yamefutwa ukiangalia kwa undani ni kwa sababu ya legal technicality ambayo pia haiondoi UKWELI HALISIA kama alichokuwa anakifanya au kukifikiria kukifanya.

Kuna watu wengi tu wako huru na wanatembea barabarani kwa kushinda kesi siyo kwa sababu hawakutenda makosa, bali kwa sababu wameweza kuruka viunzi vya sheria. Vile vile, kuna watu wengi tu wanatumikia vifungo, siyo kwa sababu wametenda makosa, bali kwa sababu hawakuweza kuviruka viunzi vya legal technicality.

Wazungu wanasema THE LAW IS AN ASS
 
Uchambuzi wako sio wa kweli hata kidogo. Briefly, uliyoandika ni upuuzi na uelewa mdogo wa kufahamu kazi za wanasheria wa Serikali na hao unaowaita binafsi.

Note that wanasheria wote wanafanya kazi moja au zaidi pasipokujali ni serikalini au binafsi.

You are just forging your naive argument. It is a judicial notice that state attorneys are less competent than the private advocates. That is so because of the lack of impetus based on financial interests, competition, and the like. Private advocates are very creative,effective in their practice so as protect and create more customers.
This fact is based on research,not emotions as you are trying to stem it. Aristotle(Greek philosopher) once said Truth is universal!
 
Mawakili wa CHADEMA kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa CHADEMA.

Naomba wadau tujadili
Ili uwe mpinzani lazima uwe bright,kama wewe ni kilaza lazima unyenyekee magmba wenzako.
 
Pamoja na kuongea mengi sana, Kesi nyingi zinazofunguliwa na wanasheria wa serikali si za kisheria bali ni maagizo ya wakubwa. ndio maana utakuta wanajaribu kuokoteza vifungu na kulazimishia ushahidi. Pia linachangiwa zaidi pia na ishu ya Mshiko "Mishahara". Kwani wakili wa serikali hata akasuka mashitaka yote na akashinda kesi hata ziwe 2000 kwa mwaka TGS D yake iko pale pale "Take home around 300 elfu" , Lakini wa Kujitegemea anaingiza mshiko kwa kila kesi, hivyo kesi nyingi kushiba zaidi. Hivyo ni lazima akeshe na kuisuka kazi yake. Belive or not.
 
sababu ni kwamba hoja zinazopelekwa mahakamani zinaasisiwa na akili ndogo na kulazisha akili kubwa kufanya kama zinavyotaka akili ndogo. ukitaka kujua mawakili hao hao wakija kwa CDM watafanya vizuri sana maana hoja za ccm ni feki na wass wake ni feki
 
Back
Top Bottom