Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Waziri Hawa Ghasia amemteua Wilson Kabwe kuwa Mkurugenz Mpya wa jiji la Dar akitoka Mwanza alikokuwa Mkurugenz. Hali hiyo imetafsiriwa kuwa ni kumng'o Kabwe Mwanza baada ya kuweka mizizi kwa muda mrefu na kupata kashfa kadhaa ikiwa ni pamoja na kumvua uraia Mbunge wa Nyamagana Mh.Ezekia Wenje wakati anagombea kiti hicho mwaka 2010.