Umri wangu haujafika hata nusu ya miaka ya nchi yangu nimeshuhudia maendeleo makubwa sana ndani ya nchi yangu. Naishukuru CCM Kwa kunisaidia kufika hapa nilipo. Vijana wengi wa leo tunathubutu...
AUWAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA. Ndugu zangu ni furaha gani unakuwanayo ukiona jirani/rafiki/ndugu yako anapata mateso yanayotokana na maamuzi yako yasiyo haki? Wote tuliumbwa kwa udongo na...
Nimeona CHADEMA uzushi tu na sidhani kama hiki chama kitakuwa hai comes 2015. Ukiangalia mbunge wetu Lema nae mcharuko basi nimejonea tabu tu. Jamani wenzangu nawashauri tuhamie huku
Mheshimiwa waziri mkuu ni mwaka mzima sasa hatuna diwani,madhara yake unayajua,ratiba ya chaguzi nyingine za madiwani nchi nzima zimetolewa,sombetini haipo.wanasombetini tunajiuliza tutapata...
Nasiitishwa na kauli hizi zinazo daiwa kutwa kutunza amani na kuhakikisha haiondoki, je kulinda amani ni kufichana baadhi ya mambo yanayo endelea nchini mwetu? Huku ndio kutunza amani, au kulinda...
KWA WANAO FAHAMU MH.JAJI JOEPH WARIOBA WAKISIMULIA HISTORIA YAKE YA KUONGOZA WATAKWAMBIA NI TU MAKINI NA MWENYE UTASHI BINAFSI KATIKA KUFANYA MAAMUZI HASA YENYE MASLAHI KWA UMMA; BINAFSI...
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kukutana na wabunge wa CCM kwa siku mbili mfululizo kuanzia Mei 18 hadi 19, mwaka huu, ikiwa ni kikao cha kazi na kushauriana juu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM...
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya yaelekea ana agenda ya siri ya kutaka kuchakachua Maoni ya Watanzania katika mchakato wa kuandika Katiba mpya.
Kwa hali...
Tunahofia nini kurudia uchaguzi wa mabaraza?
TANZANIA ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya inayotarajiwa kuwa suluhu ya upungufu wa Katiba ya sasa iliyotuongoza kwa miaka 51 baada ya...
SHEKHE wa Msikiti wa Nunge Dodoma, Shabani Kitilla, amewang'akia watawala na Viongozi wanaopotosha ukweli, akipinga kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) si Chama cha Kikristo, Kikabila...
Katika hali ya kustaajabisha, taarifa za Bumbuli jioni hii zinathibitisha kuwa Mbunge wa Bumbuli January Makamba amekimbia Bungeni na kwenda Jimboni kwake kumshurutisha Mwenyekiti wa CHADEMA...
Kuvunjwa kwa baraza hilo la madiwani kumependekezwa na wananchi wa manispaa kupitia vi-redio vya Bukoba, baada ya kuona kila kitu kinaenda mchafu koge, na kupelekea ongezeko ugumu wa maisha...
Kitendo cha Naibu Spika, Job Ndugai kushahabikia katuni ya kukashifu Bunge iliyochapishwa na gazeti la Kenya kinaonyesha jinsi asivyo mzalendo kwa nchi ya Bunge analoliongoza.
Mbunge wa kuteuliwa Mh.James Mbatia,ameitaka serikali kuchukua hatua kuhakikishi milio ya kupokelea simu yenye maudhui ya kidini pale unapompigia mtu simu isitishwe nara moja.Mh.Mbatia ameyasema...
Imekuwa ni kawaida kwa TFDA na TBS wakaguapo bidhaa kama madawa/vyakula nk kutoka ughaibuni na pindi wakigundua kwamba bidhaa hizo hazina ubora kwa haraka kuziteketeza kwa moto bidhaa hizo tena...
Umewahi kusikia nukuu hii ya Mbunge wa Jimbo la Mtera-Dodoma, Muheshimiwa Livingstone Lusinde? Alisema hivi.....
"CCM ni Mama yangu, CCM ni zaidi ya Familia yangu au hata mke wangu. Mimi sio...
Nndugu zanguni,
Jana na leo nimepokea private messages kutoka kwa watu wa chadema na wengi ni viongozi wa kitaifa.
Najua hii ni baada ya kuanika madudu ya Lema hapa jukwaani.
Napenda kuwajulisha...
Wanabodi, ni nani kati yetu,hana jirani,ndugu,rafiki,mfanyakazi ambae ni mkristo au mwislam? Binafsi wajomba zangu ni waislam, nimezungukwa na waislam tena maofisa jeshi ((JWTZ), naamini hata wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.