Tazama bei za petrol kwa wenzetu

Tazama bei za petrol kwa wenzetu

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman

1.super 0.122 baisa= Tshs 485
2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465
3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585

Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi tutazipata?
 
Hii bei nimeikuta pale oman
Petrol daraja la kwanza

1,Super 0.122 baisa = Tshs 490
2,Regular 0.116 baisa= Tshs 465
3, Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585

Ina maana na sisi tukianza kuchimba mafuta bei kama hizi zitafika kweli?
 
Tusikate tamaa mkuu inawezekana
rais alisema gesi ya songo songo kufika kiwanda cha saruji wazo,cement itashuka bei, wakati huo ilikua tsh6300 per bag,matokeo yake imepanda mpaka sasa tsh13500 per bag!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
kuchimba mafuta hakumaanishi kwamba neema inakuja bongo, inawezekana ikawa ni laana ya kufa mtu, check this, nigeria wana chimba mafuta ila bei ya mafuta imekuwa juu mara mbilizaid ile ya kwanza kwasababu yale mafuta yanapatikana kwenye ardhi yao ila sio yao. yanamilikiwa na MNC's
 
Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman

1.super 0.122 baisa= Tshs 485
2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465
3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585

Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi tutazipata?

dah nachojua gas kilo 15 inaweza kuwa Tsh 200/=
 
kuchimba mafuta hakumaanishi kwamba neema inakuja bongo, inawezekana ikawa ni laana ya kufa mtu, check this, nigeria wana chimba mafuta ila bei ya mafuta imekuwa juu mara mbilizaid ile ya kwanza kwasababu yale mafuta yanapatikana kwenye ardhi yao ila sio yao. yanamilikiwa na MNC's

ni kwa nigeria kuna wakat wananunua mafuta toka nje ya NCHI
 
Wadau hizi beiza petrol nimezikuta pale oman

1.super 0.122 baisa= Tshs 485
2.Regular 0.116 baisa= Tshs 465
3.Diesel. 0.146 baisa= Tshs 585

Hivi na sisi tukianza kuchimba mafuta je bei hizi tutazipata?

Hivi Omani nao wanatumia Tsh?
 
Hapo kwenye RED kama kipimo ni hicho basi bei ni sawa tu na kwetu huko BONGO

Ltr 1 ya petrol tz ni Tshs 2,000 inafika japo siku nyingi sijafika sijui bei kwa sasa,

Oman ltr 1 ni baisa 0.122 ambayo ni sawa na Tshs 485 hivi sasa hapo usawa na kwetu uko wapi? Au umekusidia nini mkuu sijakufaham bado
 
Mimi nimeona bandiko lako lasema Little = Kiasi kidogo say less than a quarter of something say 1/5. Hivyo nikazidisha haraka haraka 485 x 5 = 2,245/= nikaona karibu sawa na huku ila wao wapo juu kidogo.
 
Hapa tatizo ni namba. CCM wametumaliza kabisa kwenye kukokotoa. Tujiulize ni lini bei ya bidhaa ilishuka?
 
Back
Top Bottom