Wakuu.
Mtakumbuka kuwa leo Dr Slaa anafanya mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kwaraa Babati mjini.
Uwanja wa Kwaraa, Babati Mjini ndipo mahali ambapo Dkt. Slaa alimnyamazisha kbs aliyekuwa...
Wakuu.
Kama kuna mwanaJF
anaye hitaji audio ya mdahalo
wa Dr Slaa alio ufanya siku 8 kabla ya uchaguzi mkuu wa 0ctober 31, 2010 pale
Movenpick Hotel anitumie
namba yake ya simu kwenye
namba...
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.
Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,
jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust...
Ni dhahiri iliyokweli CCM ijithmini yenyewe kwa sasa kama chama cha siasa na kinachotawala nchi yetu ili kiweze kupata ridhaa ya kuendelea kutawala katika zama za siasa za ushindani tanzania...
NI MTIZAMO TU
Nilimjua AGUSTINE L. MREMA pale alipotoka ccm na kujiunga na chama cha NCCR kwa hakika MREMA ailkuwa tishio mwaka 1995 ambapo BABA WA TAIFA kwa kulitambua hilo akaamua kumpigia...
Nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu hoja mbalimbali zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakiwemo wa chama kinachotawala na wa vyama vya upinzani kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu kubaguana...
Ndiyo Wanabodi ! Kamanda Lisu ameongozana na Makamanda Hamedi na wenzake leo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa diwani kata ya Iseke ,jimboni Singida Magharibi . Katika kuelekea...
Unapokuwa na kiongozi mwenye sifa hizi hafai kuwa kiongozi
1. Anaendesha chama kwa kupendelea watu walioupande naye kifkra hata kam hazina mashiko
2. Kutengeneza makundi katka viongozi wa juu na...
Serikali ya CCM hembu tuambieni ni nani hatari zaidi kwa ustawi wa nchi hii kati ya mmachinga anaevunja sheria kwa kuuza bidhaa zake mitaani,tena kwa kukosa eneo la kufanyia biashara,na Raisi wa...
Taarifa za kuaminika kabisa kutoka jimboni Mkuranga zinafichua taarifa kuwa mpambanaji, mwanaharakati, mwanamapinduzi, kada wa CHADEMA na mwasisi wa mageuzi nchini hivi punde atawasili jimboni...
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na...
Wakuu wana jf
Sisi wakazi wa Vijiji vya Nzali , Mlimwa , Membe,Dabaro na vijiji vingine vya eneo hili hakika hatuna mbunge. Nadiriki kusema hivyo kwa sababu kwa miaka kibaao tangu dunia iumbwe...
kwanza poleni watanzania wenzangu kwa kutiwa misukosuko kwa sababu za kutofautiana mitazamo na chama kinachojinasibu kupewa ridhaa ya kuongoza dola "ccm"
Nimefanya utafiti binafsi nimepata jawabu...
Leo ni graduation ya wanachama wa CHEDEMA tawi la SAUT wanaohitimu (mwaka wa tatu kwa social science, mwaka wa nne sheria na mwaka wa tano engineering).
Sherehe za mahafali hayo zitafanyika...
Inasemekana tokea jana kuna njama ya kuteka kijiji cha Ruaha, kwa kumuapisha kiongozi wa CCM ambaye hakubaliki na wananchi. Kama kawaida CCM wanataka kumuapisha kwa mabomu ya machozi. Kama hii ni...
Wanajf,
Kesho ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji ktk jimbo la mwigulu nchemba,
*Ally Bananga ndie atakae endesha kampeni ktk uchaguzi huu,
UCHAGUZI NI WA VIJIJI 8 NA VITONGOJI 28.
Mheshimiwa Spika mi nawashangaa sana hawa wapinzani,wao hawaoni jema hata moja lililofanywa na serikali hii ya chama tawala,huko majimboni kwao serikali imewafanyia mengi sana,kweli shukrani ya...
Mungu ibariki Iringa ,Mungu wabariki viongozi wa umma mkoani Iringa , Mungu uwape hekima na busara viongozi na machinga katika eneo la Mashine tatu ili kuepusha madhara ambayo...
Hivi karibuni tumeshuhudia viongozi wa kidni wakijiuzuru nafasi zao kwasababu mbalimbali. Mfano, tarehe 11/2/2013 tulishudia Baba matakatifu Benedict wa XVI akiachia ngazi kwa kushindwa kutimiza...
Saturday, May 18, 2013 | 2:38 AM
RASIMU ya Sera ya Elimu na Mafunzo Nchini inapendekeza kuunganisha elimu ya msingi na sekondari ya kawaida ya sasa ili kuunda elimu-msingi itakayotolewa kwa...