Ungependa nani awe mbunge wako kupitia chama cha chadema hapo mwaka 2015?.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,195
Wewe kama mwana chadema ungependa nani awe mbunge wako au nani agombee ubunge katuka jimbo unali toka au unaloishi kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ifikapo mwaka 2015?

Tuwekee wasifu wake katika jamii ya wavujajasho wa kitanzania na nini kikushawishi awe mbunge wako.
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
Richard Jeremiah Mshandete-kupitia CHADEMA,Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga,huyu jamaa amekuwa mstari wa mbele kutoa huduma za kijamii katika jimbo la solwa,Alikuwa anafanya kazi CRDB bank Shinyanga Branch,kwa sasa anafanya kazi katika tawi jipya la CRDB Bank lilofunguliwa hivi karibuni huko Bujumbura,Burundi!!
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,748
2,000
Richard Jeremiah Mshandete-kupitia CHADEMA,Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga,huyu jamaa amekuwa mstari wa mbele kutoa huduma za kijamii katika jimbo la solwa,Alikuwa anafanya kazi CRDB bank Shinyanga Branch,kwa sasa anafanya kazi katika tawi jipya la CRDB Bank lilofunguliwa hivi karibuni huko Bujumbura,Burundi!!

aweke mtu wa kumuwakilisha wakati anatumikia taifa nje ya nchi.Tunamhitaji sana SOLWA
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,775
2,000
aweke mtu wa kumuwakilisha wakati anatumikia taifa nje ya nchi.Tunamhitaji sana SOLWA
Kwa sasa ameweka vijana ambao wapiga kambi pale Shinyanga mjini,na harakati zake za kisiasa zinaendelea vizuri sana,ikikaribia uchaguzi atarudi kupambambana na magamba!!
 

Ng'wanabulang'wa

New Member
Jan 16, 2013
1
0
Katika hili ni wazi kuwa Bwana Malimi Masanja Ng'wanabulang'wa anastahili kuwa mgobea ubunge katika jimbo la Kahama kwa kupitia chadema. Ni ukweli siopingika kuwa unapozungumzia siasa za mageuzi wilayani Kahama jina hili ni kubwa na lina historia ndefu kuanzia uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995

Ni mtu ambaye husimamia kile anachokiamini na hateteleki na wala kuogopa kitu. Hii ilijidhihirisha wazi pale alipopambana na CCM na mbunge wao Mh. Kanga (sasa ni marehemu) hadi kuwashinda katika kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi Bwana Kanga.

By Wanzengo from Kahama
 

maghiya

New Member
Jan 26, 2013
2
0
kwa singida mjini,napenda awe Anna mghwira.
wasifu wake:
1.mwanaharakati wa ukweli wa maendeleo,mpanga mikakati ya maendeleo.
2.mtetezi wa haki za wanyonge.
3.msomi
4.mwaminifu na mwenye msimamo
5.mpanga mikakati
6.taaluma na uzoefu wa kimataifa
 

KILIVITE

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
1,302
1,250
SAID TIRA ULANGA MAGHARIBI.SIFA: Diwani wa Malinyi CHADEMA,MPAMBANAJI WA UKWELI ULANGA KWA UJUMLA,CHAGUO LA WANANCHI,KIJANA MZOEFU NA MWENYE KUJIAMINI,MAGAMBA WANAMGWAYA VIBAYA AKIWEMO MPONDA NA WENGINEO.
 

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
125
Anna mghwira huyu dada Jembe Chadema Singida mjini mpeni kazi huyu atawasaidia kuliko Dewji anakaa Dar tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom