Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makundi haya yamegawanyika sana ila makubwa ni makubwa ni mawili, linalojitambulisha kupitia Sitta,Membe na Mwakyembe(Wapambanaji wa ufisadi ndani ya CCM) na lile linalosemekana kuongozwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali isiyo yakawaida leo jioni wakati wakuchangia bajeti, bwana Nyangwine huku akijua kuwa analolisema linaweza kutafsiliwa vinginevyo amemponda waziwazi bosi wake Mwigulu Mchemba kwa kuvaa...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
magazeti yanatukana wabunge wanatukana habari zinaandikwa za uzushi na uongo mlingwa ambaye ni mhariri ameadhibiwa kwa kuumbua ugaidi lakini hapo hapo wahariri wengine wanaandika uzushi dhidi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Si swali langu, bali ni jana jioni mbunge mmoja jana wakati wa kuchangia bajeti ya Wizara ya habari, aliuliza na kutaka Waziri aje na majibu kwamba kwa nini TV IMANI ilifungiwa? mleta mada...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
  • Closed
Ndugu wana jf matatizo mengiyamekuwa yakiripotiwa na magazeti yetu lakini baadhi yao yamekuwa yakipotoshasana umma wa wananchi…mfano gazeti la Habari Leo limekuwa likipotosha sanawananchi kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Leo saa mbili na nusu asubuhi nilifika Jengo la NSSF nikitokea kufanya jogging yangu ya asubuhi. Nilifika hapo kuwahi kununua magazeti. Hali ilikuwa shwari kama ilivyo...
3 Reactions
124 Replies
11K Views
Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ni la kidemokrasia kwa maana ya kuwa na wabunge toka vyama vingi lakini je wana UHURU na HAKI sawa? Jana katika hoja ya katika hoja ya wizara ya utamaduni...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Wiki mbili zilizopita Polisi mkoani Arusha Ilimfungulia kesi baada ya kumshikilia kwa siku 3 Mbunge wa Arusha mjini mh GODBLESS LEMA kwa kile wanachodai polisi kua ni Uchochezi baada ya Mkuu wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wakati anachangia kamsifia comrade makalla kwa kutatua mgogoro tff, sidhani kama anajua fifa ndio wameamuru uchaguzi urudiwe. je anafuatilia michezo?
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikitoa matamko mbalimbali katika kuonyesha misimamo yake kwenye baadhi ya mambo yanayo tokea hapa nchini au yanayo pangwa kufanywa na serikali...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Si lazima mwanasiasa aliyeacha udaktari akaonekana kwenye TV akiongea na ndugu zake yaani madaktari wenzake walioko mgomoni hadi itafsiriwe kwamba anachochea mgomo na wenzake kwenye caucas wamjie...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni wakati muafaka kwa vijana mliowekeza matumaini yenu chadema sasa mkajifikiria upya mko kwenye chama cha demokrasia na maendeleo au mpo katika chama cha vurugu na kuwaongezea umaskini...
1 Reactions
129 Replies
7K Views
Taaarifa kutoka Iringa zinasema mbunge wa Jimbo la Iringa Peter Msigwa wa CHADEMA amekamatwa na jeshi la polisi muda huu na yuko chini ya Ulinzi wa jeshi hilo. Mchungaji Msigwa amekamatwa kwa...
1 Reactions
353 Replies
31K Views
Tatizo la ajira nchini bado ni kubwa sana na linazidi kuwa siku hadi siku huku kukiwa hakuna ufumbuzi wa kuaminika unaotolewa na viongozi wa nchi. Vijana wamekuwa wakiendelea kuhitimu katika vyuo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kigumu kukivumilia ni pale ambapo mtu anakukosoa kwa jambo ambalo wewe kwa kutokujua au kwa kujua ila ukadhani kuwa unayemfanyia jambo lile haramu hatajua; halafu akatokea mtu...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Ndugu wana JF Kuna waraka ambao umesambzwa kote kusini kuwahimiza wananchi kesho ijuma kusikiliza bajeti ya wizara ya Nishati kuona kama serikali inataka kufanya nini. Mie sina mengi jionee...
10 Reactions
120 Replies
12K Views
VIONGOZI na wananchi kwa ujumla wetu tuna kila sababu na wajibu wa kujitadhimini wapi tulikotoka, tulipo na tunapokwenda. Taifa letu la Tanzania ni wazi huenda limejikwaa na hata kuinama kwa...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Kwanini serikali (manispaa mbalimbali) zinajitahidi sana kuwakufuza wamachinga mijini? Tumeona haya Dar, Mwanza, na sasa Iringa; na tumeona pia Arusha. Hivi hawa wanaofanya hivi hawajafika...
9 Reactions
48 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Jioni hii baada ya mazoezi ya mpira wa watoto niliongozana na makamanda wangu hadi mitaa ya kati ya Iringa. Nilifika maeneo ya Stendi Kuu, Mashine Tatu na hata Soko Kuu. Hali...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom