Kwa kipindi kirefu kumekuwapo na madai ya kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa vinara wa biashara ya madawa ya kulevya. Wananchi katika ngazi mbalimbali wamekuwa wakisubiri
kusikia tuhuma hizo...
Mh. Vick Kamata amesema TAIFA STARS imebakiza mechi mbili (2) tuu kushiriki KOMBE LA DUNIA.
Kwa mtu mwenye masters level angetambua hili " NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK"
Ameongea hili kwa...
Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) Dkt.Eliezer Feleshi ameamua kwanza kuiomba Mahakama kuu kuipitia upya (review) hukumu ya Mahakama kuu hiyo iliyotolewa na Jaji Lawrence Kaduri, ya kutupilia...
makamanda na wazalendo wote mnahimizwa kujitokeza kwa wingi kesho asubuhi wakati mh.mbunge msigwa atakapokuwa anapelekwa mahakamani na mapoliccm mkoani mjini iringa.ni matumaini yangu kuwa...
Reporter
in Tanzania
20 May 2013
29 ViewsHajasoanirina Rakotomandimby, Ishmael Sunga, Jane Ngulube, Salum Shamte, Southern Africa
A Tanzanian, Mr Salum Shamte has been elected Vice-Chairman...
BREAKING NEWS............MBUNGE MSIGWA NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA 27 WAKOSA DHAMANA KESI KUTAJWA TENA 3 MWEZI WA 6
Wafuasi wa Chadema Iringa wakiwa wamembeba juu juu mbunge wa jimbo...
Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), imepanga kuanza kuwadahili wanafunzi wa kujiunga na masomo ya vyuo vikuu kwa kutumia uzoefu wao.
Udahili huo utakaoanza mwaka huu wa masomo 2013/14, utakuwa...
Dhima kuu ya serikali yoyote duniani ni kulinda watu wake na mali zao. Lakini serikali ya Tanzania kupitia vyombo vya dola imekuwa ikitumia nguvu kubwa kuzuia maandamano na hata kufikia kuua raia...
Kwanza natoa pole kwako Mheshimiwa Rais kwa majukumu mazito ya kuhakikisha amani, siasa safi na maendeleo ya kiuchumi yanapatikana Tanzania. Mheshimiwa...
Ni zaidi ya Miaka miwili sasa kama Sikosei tangu kuteuliwa kwa Katibu wa Sekretarieti kuu na Uenezi CCM ndugu NAPE NNAUYE!..Kua katibu wa Uenezi wa Chama kikubwa kama CCM na chenye kuongoza Dola...
Habari zenu.
kwa umuhimu wa kupashana habari Miongoni mwa watanzania.
Wizara imeona ni vema ikaweka hapa link ambayo itawawezesha kuipata moja kwa moja Rasimu ya sera ya gesi asilia kama...
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.
Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na...
Kwa mujibu wa ITV, Maalim Seif ataendelea kuwa mgombea wa CUFkwenye uchaguzi wa Rais wa 2015, hivi ndani ya CUF hakuna wengine wenyeuwezo wa kuwa wagombea ila ni hawa jamaa wawili tu; Seif na...
Salam WanaJF, nawatakia kheri ya siku ya Dominica.
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi wanachadema wa jiji la Dsm kujielekeza kata ya Mianzini iliyoko Mbagala Zakhem katika uchaguzi mdogo wa...
Nimemshuhudia Mbunge Mmoja wa CCM akihojiwa katika taarifa ya Habari saa 2 Star TV akisema Taarifa ya Mh. Sugu ni ya uongo kwani hakuna Mwandishi wa Habari aliyewahi kumwagiwa Tindikali ila ni...
Reporter in Tanzania
20 May 2013
Eliakim Maswi, Kenya, Nigeria, Sospeter Muhongo, Tanzania
The Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, has said the government will open bids...
Ndugu zanguni,
Nimesikitika sana kuona jinsi huyu Mchungaji Msigwa anavyowapotosha wana Iringa wenzangu kwa kuwachochea wakafanye vurugu pale mashine tatu karibu na stendi kuu ya Iringa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.