Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali bado si shwari,kusini hasa hasa MTWARA watu bado wana yao ya moyoni, Na kwa sasa zipo tetesi ya kwamba nyumba na familia za wabunge wanaotokea MTWARA zinalindwa na askari wa doria kwa hofu...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema ataomba tena kugombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Akizungumza katika kipindi...
0 Reactions
4 Replies
968 Views
Ndugu wanaJF. Nadhubutu kusema Serikali yetu ya CCM imetamkia wananchi wake ya kuwa MAISHA ITAKUWA BORA KWA KILA MTZ. Lakini ndivyo Sivyo! Kuna binadamu wanaishi Ndani ya Eneo La Ngorongoro, wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona mkiwa Kwenye kikao Cha nchi mjengoni mnaongelea sana Majukwaa haya ya Kijamii hasa JF, kwa ubaya au uzuri frankly jukwaa hili nguli, kumbe mnapitia sana humu. Kuongelea majukwaa haya ni...
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Je kama mfumo ujamaa venezuela uliwezekana katika zama hizi kwa nini isiwezekane hapa kwetu tanzania?
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Nilipotoa maoni yangu kwenye Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya, niligusia umuhumu wa uwepo wa sera za Kitaifa kwajili ya rasilimali za taifa na uwepo wa uwazi katika mikataba inayoingiwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jioni ya leo tar 20 May 2013 nilibahatika kutazama kikao cha bunge la jioni. Hii ilitokana na kuahirishwa Spika Makinda kuahirisha kikao cha asubuhi baada ya Mbunge wa ccm Godfey Zambi kuomba...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
ameomba bunge lipate uhuru wa kutosha kujadili matukio ya utekaji hapa nchini..bila kuathiri matukio yanayosubiri uamuzi wa mahakama.. spika amesema hayo mambo yameshatolwa ufafanuzi mara kadhaa...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mei 19, 2013 Chama Cha Mapinduzi kilifanya kikao cha siku moja na wabunge wanaotokana na CCM, kikao hicho kilifanyika mjini Dodoma ambapo pamoja na viongozi...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Mzee wassira akichangia bungeni leo kuhusu uhuru wa habari, alijitutumua kwa kudai kuwa sura na muonekano hauwezi kuwa habari? Napend ajua motive behind. Kabla hatujaanza changia kwanini kila...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Akijibu hoja za wabunge katika mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari.. leo jioni, Naibu Waziri wa Wizara hiyo alisema mengi lakini kauli iliyoniacha hoi ni ile aliyosema kuwa Ukionana adui yako...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Some times you are doing so well in the politics arena and sometimes you Kurupukaring Sometimes I have to declare that you are such energetic young person to perform such hard task at Mjengoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndg wana JF, tukiwa bado tunaangalia sakata la matokeo mabovu ya CSEE 2012, ambapo MaCCM yameendelea kuonyesha utendaji mbovu kwa kufuta matokeo hayo( nasema mbovu kb mpaka matokeo yanatangazwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wana jf. Ndugu zangu naliangalia Bunge na naona Baraza la Vijana linazuiliwa na vijana wenyewe yaani namaanisha Wabunge vijana. Namwona Dada yangu Esther Bulaya anachangia na kulichelewesha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikisikia TBC Leo wakiripoti mlipuko wa kigaidi uliotokea Arusha. TBC wameanza panda mbegu ya upotoshaji. Gabriel Zakaria akimhoji Kamanda wa police ambaye alikuwa akijidai yupo busy. Alisema...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo May 21, 2013...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu, Katika kile kinachoonekana kwamba wawakilishi wetu wengi hawajui maana ya "uhuru wa vyombo vya habari", Mbunge wa CCM amemtaka waziri wa wizara husika kutoa amri kwa vyombo vya habari ili...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Wana JF, Jana Mh. Sugu alinikumbusha kauli ambayo mpaka sasa inaendelea kuumiza kichwa changu. Naomba wanajamvi mnisaidie kujibu maswali yangu mengi ambayo nimekuwa nikijiuliza tangu siku ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rejea kichwa hapo juu: Naoana kila gamba linajiita mwandhishi na ana declare interest. Hawa magamba kila kitu kwao ni grey tuu. Kwa jinsi nielewavyo ktk tasnia ya habari kuna majukumu mengi, na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi karibuni tulikuwa katika muendelezo wa mjadala kuhusiana na mshahara anaolipwa dr Slaa na CHADEMA kama katibu mkuu wa chama hicho taifa. Katika mjadala huo, dr Slaa mwenyewe amekuwa...
2 Reactions
185 Replies
14K Views
Back
Top Bottom