Maneno hayo yamesemwa na Mbunge wa Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi alipo kuwa akieleza aibu ya viongozi wetu kushindwa kukilinda kiswahili na kukumbatia lugha za kigeni.
Alitolea mfano...
makamanda wa kupiga vita ufisadi mpo kwenye njia mbovu ya ccm njoni upinzani mpate kuongeakweli yote bila kuzuiwa mafisadi watawatoa kucha na meno b careful my brothers
JE, umewahi kujiuliza Jeshi la Polisi haliaminiki kiasi gani na kwa nini?
Je, unajua kwamba hata mawaziri wa serikali hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawana imani na Jeshi la Polisi? Hebu...
Imekuwa ni mazoea sasa kuona Wabunge tuliowachagua kujiingiza kwa makusudi kufanya vurugu na kuvunj a sheria waziwazi tumeshuhudia pia wakikamatwa na kuwekwa rumande na Kupelejwa mahakamani hii ni...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Kamati Maalum ya Katiba pamoja na ITV na Radio One wanawaalika
watanzania wote kwenye Mdahalo wa Katiba utakalofanyika ndani ya...
Nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM. Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja...
Anasema bei ya nafaka za ndani ikiwa juu serikali huagiza nafaka kutoka nje! Mwenye weledi na mambo ya kiuchumi atudadafulie hili. Mwisho, wale waliomwibia huyu muheshimiwa walikamatwa?
akichangia hotuba ya wizara ya habari utamaduni na michezo, wasira anasema vyombo vya habari hapa nchini vimekuwa vikiipotosha jamii badala ya kuipatia habari sahihi za kuelimisha. anasema...
msajili wa vyama (J.TENDWA) tunataka kusikia kutoka kwako.
Kwa muda mrefu sasa siasa za nchi hii zimetawaliwa na fitna,uzushi,maslahi ya chama kwanza raia baadaye na kulindana.
Lini vyama vya...
WANABODI!
nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge linaloendelea sasa baadhi ya michango ya wabunge wetu inatia aibu kusikiliza.mfano anasimama mbunnge anahoji ni kwanini serikali haijajenga choo...
Tar 18 na 19 MAY 2013, Kamanda Zitto Z Kabwe ameweza kufungua matawi 19 ndani ya kata 19 kati ya kata 25 za manispaa ya TABORA na kufanikiwa kuvua GAMBA zaidi ya 1000! Kamanda Arfi atamalizia kata...
Tangu jana,nimejipa nafasi na kazi ya kupitia Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2007) ili kuona uhalali wa alichokiamuru jana Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda kupeleka Hotuba ya Kambi Rasmi ya...
Jana waziri wa habari,vijana,utamaduni,na michezo mh. Mkangara alisoma bajeti ya wizara yake lakini pesa za maendeleo ni milion mia sita tu wakati matumizi ya kawaida ni bilion Ishirini,
Hebu...
Kwamba mbunge mmoja wa CCM jana alikatiza hotuba ya kambi rasmi ya upinzani akidai imejaa uchochezi hali iliyosababisha kusimama kwa kikao cha bunge. Kile walichotaka tusikisome,maana kama ni...
Wakati akichangia kwenye hotuba ya wizara ya habari, utamaduni na michezo, ametoa wito kwa wabunge wajikite kwenye kuwawakilisha wananchi wao na waache kutumia fursa hiyo ya kuwa bungeni kusafisha...
HAPA MONDULI WANANCHI TUNAJIULIZA KUVUNJA NYUMBA ZA UMMA ZILIZOKO MONDULI MJINI HUO NDIO UTAWALA BORA?
Siku za karibuni uvumi umekua ukipita kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli inajadili...
Erosion ya thinking katika safu ya wawakilishi wa wananchi sasa inaelekea kubaya-kwa maoni yangu!
Kwa mtu anayeelewa jinsi dhana nzima ya umachinga ilivyo asingeitetea kama mkombozi wa wananchi...
wanasema Juma Nkamia amepotosha jamii kwa kusema jukwaa la wahariri ni NG'O..wanasema juktwaa hili halifahamu vizur kwani limeundwa wakati yeye akiwa bungeni.. Wamemshutumu kwa kushindwa kuwatetea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.