Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

wakuu salaam sana, kwa walioko mtwara poleni sana kwa kutetea maslai yenu. wakuu naomba sasa kuuliza maendeleo ya jumla kwa mikoa ya LINDI NA MTWARA nataka nijue kama kuna barabara za lami km...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watawala wa tanganyika na naznzibar kupitia ccm wananchi wakidai madai ya msingi,madai ya wananchi hao yatahusishwa na siasa au dini udini mfano wana mtwara hawajakataa kuwa gesi ni mali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi wasema uongo kuhusu sms mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo aliyomtumia nimeongea na Lema. Na akanipa simu yake nikasoma sms iliyotumwa na kuchukua namba na kutuma kwenye m pesa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Akiongea na maelfu ya wananchi wa jiji la Arusha mbunge wa Arusha mjini(Godbless Lema) alifumua ufisadi wa halimashauri ya jiji la Arusha ya takribani bil 12 huku kwa mwaka wa tatu mfululizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia miaka ya 1945 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia, Nchi ya Mexico ambayo inapakana na Marekani katika upande wake wa kusini, ilikubwa na hali mbaya ya uchumi na kusababisha maisha ya raia...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
http://youtu.be/FsYyj-5yC2M
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh rais Jakaya Kikwete na mh Lipumba na wanasiasa wanaokubalika Mtwara,ebu kwa mstakabali wa hali ilivyo hivi sasa tumieni kwa uchache japo masaa 24 tuu ya kurudisha amani ya kudumu Mtwara kwa...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
  • Closed
Hali zenu ni matumaini yangu mu wazima nina shida na Dk.slaa ningeomba yeyote mwenye mawasiliano na Dk.slaa amjulishe. Mawasiliano yangu ni 0689445440
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwenye ukumbi wa mikutano ya CCM hasa ile ya CC na HALMASHAURI KUU kuna bango limewekwa mbele ya meza kuu ambayo hukaa viongozi wakuu likisomeka “MIMI NANG’ATUKA LAKINI NAENDELEA KUAMINI KUWA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mrema afanya mdahalo live na wananch huku akiwaeleza aliyofanya mpaka sasa ikiwemo barabara ya kawawa to marangu kilo mita 15 zimetimia. Pia soko la kimataifa njia panda.pia maji kirua kusini
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Kuna Askari kakiri kua magari mawili ya maji ya kuwasha ndo yaliopelekwa Mtwara, pia kikosi toka DAR na MASASI ndio kinafanya mapigano na Wananchi. Kuhusi hali iliyoko huko pia ni tete kwa kauli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma kwa kiasi kikubwa linajadili bajeti isiyo na maslahi yo yote kwa wananchi; ni bajeti ambayo inatakwimu na maelezo mengi ya kisanii.Mathalan, bajeti ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MPs punch holes 0n new gas draft By Beatrice Bandawe 19th May 2013 Email Print...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wabunge wote wa Mtwara wameonesha mfano mbaya sana kwa kutoomba mwongozo kwa spika, ili kuahirisha shughuli za bunge na kujadili jambo la dharura la fujo zilizotokea mtwara baina ya polisi na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Awali ya yote napenda kuwapa pole ndugu zangu,rafiki zangu na wananchi wenzangu katika mkoa wa Mtwara kwa madhira yanayowapata,naamini kila kitu kitakua katika hali ya kawaida. Napenda sana mkoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Jumatano, Mei 22, 2013 09:53 Na Absalom Kibanda MWAKA 2009, Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wanabodi. Mwandishi wa habari wa gazeti la ----------- Saed Kubenea, inasemekana amejapanga kugombea Ubunge Jimbo la Kibaha Mjini kupitia CHADEMA mwaka 2015. kwa hivi sasa Jimbo hilo linaongozwa...
20 Reactions
120 Replies
11K Views
Katika hali ya kushangaza na kustusha leo saa 9:00 mh.naibu wa waziri wa nishati na madini kawasilisha hati ya kusomwa hotuba ya nishati na madini. "Lengo ni kuwapiga chenga wananchi wa pinga...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
HOTUBA YA KIHISTORIA YA NISHATI NA MADINI 2013/14 HII HAPA. DOWNLOAD UISOME ZAIDI http://ubuntuone.com/2EP8D9gb2isx4EJmM3DGDP HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. PROF. SOSPETER...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Back
Top Bottom