Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF, wote tumeshuhudia suala hili likianza taratibu na kufikia hapa lilipo. Kimsingi hakuna mzalendo ambaye angetaka yatufike ya Niger Delta au mengineyo kama haya. Niemeona katuni moja katika...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania na China zimekubaliana kutoa fursa kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne na kufaulu vizuri kujiunga na elimu ya vyuo vikuu nchini China. Lengo la makubaliano hayo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikitazama bunge,mawaziri na watendaji wote wa serikali, etc.Naona kwanini ujinga ni dini kubwa tz. Ujinga ni dini inayopoteza haki kuanzia upelelezi wa polisi,hukumu mbovu mahakamani,mawazi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika kutafuta ufumbuzi wa suala la gesi kusafirishwa toka Mtwara kuja Kinyerezi Dar, je tujiulize kwanza,mpango huo umeanza lini? Naomba kwa mwenye kumbukumbu atuambie kwenye ilani ya CCM 2010...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
JUMAPILI, MEI 19, 2013 07:34 NA DEBORA SANJA, DODOMA RAIS Jakaya Kikwete amesema Watanzania wanaoivuruga amani nchini wana uhusiano na watu kutoka mataifa ya nje. Rais Kikwete alitoa kauli hiyo...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kufuatia swala la machafuko ya mtwara kuna uwezekano PINDA leo akakwepa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kutoka kwa wabunge ili kuepuka kujichanganya.
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema halioni kama kulikuwa na hali ya uchochezi kwenye hotuba iliyowasilishwa na Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni Dodoma juzi, kuhusu makadirio ya mapato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2010 TBC 1 walianzisha kipindi maarufu kilichokuwa na jina la mchakato majimboni wana siasa wengi walikikimbilia wakiona ndio sehemu ya kujinadi. Ingawa TBC...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina wasiwasi sana kuhusu uwajibikaji wa serikali katika kutekeleza sera zao ni aidha zimepitwa na wakati au watawala wamepitwa na wakati hili linatokana na migogoro ya mara kwa mara kuibuka...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
  • Closed
Mbelwa Kairuki alikuwa Mwandishi hotuba pale Ikulu. Aliingia kwa kumfanyia Jembe January Majungu na hatimaye kuondolewa akagombee Ubunge. Kumbukeni, kuondoka kwa january ilikuwa ni mpango...
4 Reactions
41 Replies
15K Views
Wanasiasa wana kauli yao moja upenda kuitumia pale wanapo puuzia Mambo, usema "Ni upepo tu huo, utapita". Lakini kwa hili la Mtwara, chonde chonde wekeni siasa kando na tulitafutie ufumbuzi utakao...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Akitoa tamko la serikali TBC1 waziri wa mambo ya ndani ndugu Emmanuel Nchimbi amesema polisi imeimarisha ulinzi Mtwara.
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mtanisamehe mimi ni mgeni hapa lkn nivumilie tu. Kwanza kabisa niseme hii nchi ni sisi sote si ya mbunge wala raisi wala CCM wala CHADEMA. Kwa sasa CCM wamekazana kuiba,CHADEMA nao nyuma,wakikosa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Waandishi Wetu Toleo la 295 22 May 2013 NDEGE yoyote itakayonunuliwa na Wizara ya Uchukuzi, inayoongozwa na Mbunge wa Kyela, Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Kwa niaba ya timu nzima ya JF, napenda kuwashukuru kwa kutufanya kuwa ukurasa mkubwa katika Facebook kwa Tanzania (Leading Facebook page in Tanzania) -...
70 Reactions
124 Replies
9K Views
Baada ya star TV na vyombo vingine vya electronic kuacha kuonyesha live vikao vya BUNGE sasa kikwazo kingine kimewekwa. TBC sasa imepunguza signal inazorusha kwenye sattellite na kufanya watu...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Nimesikia kichefuchefu baada ya kusikia kwenye taarifa ya habari ya ITV usiku huu kauli za kejeli na dharau isiyoweza kuvumilika kwa wananchi wa Mtwara. Mbunge wa Sumve Mh. Ndassa - 'watu wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF, Serikali imetenga bajeti ya Tsh Bil 10 kwa ajili ya kufanya matengenezo ya Ikulu ya Tanzania kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 Katika mwaka wa fedha unaoishia juni mwaka huu ambao ni mwaka...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi kimeingia katika orodha ya taasisi levi nchini baada ya makada wake kuonekana wakibeza wito wa wale waliowaweka madarakani! Hii ni mara ya pili kwa wananchi ya Mtwara kuitaka...
1 Reactions
1 Replies
963 Views
http://youtu.be/QmaE8HUlHRM
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom