Iwapendeze waungwana;
Habari zilizopo katika viunga mbali mbali Nchini ni kwamba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM hivi majuzi aliombwa na Familia ya Rais kuachana na fikra za kujiuzulu...
Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza...
URAIS 2015
Mwandishi Wetu Dodoma Toleo la 295 22 May 2013
Rais Kikwete naye apigwa dongo kikaoni
MBIO za urais kwa upande wa Mbunge wa Monduli, Edward...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo-CHADEMA,mh John Mnyika
--
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuwaagiza maofisa wake kuitafsiri sera ya gesi...
Uongo ni mbio za sakafuni ambazo huishia ukingoni. Aidha uongo hauongoi yaani haumtoi mtu katika upotofu au hauelekezi tabia nzuri. Ni methali mbili zinazoshauri kutokuwa na tabia ya...
Hili la Mtwara halitochukua muda mrefu kusahaulika masikion mwa watanzania.wa wakat huu kuna mikakati mingi inapangwa kuwaondoa Watanzania katika jambo la Mtwara na kuwaletea jambo lingne la...
Mimi kama mdau wa elimu na msomeshaji nimeumizwa sana na matokeo ya kidato cha nne. Kwa kweli ni pigo ambalo tunahitaji kujisahihisha haraka. Kuna sehemu kuu nne katika tatizo hili za msingi...
Nashindwa kuelewa kwanini serikali haitaki kuona ukweli wa wana mtwara na kila sasa kuubadili ukweli huo kuwa uwongo.
Serikali inatuambia wana mtwara wanasema gesi ni yakwao hivyo haitoki mtwara...
Mara baada ya Gesi kugunduliwa ktk Kina kirefu cha Bahari mwishoni mwa ka jana kumekua na sintofahamu ktk Mikoa ya LINDI na MTWARA! Hii inafuatia Kuwepo kwa vita ya mara kwamara kati ya Wananchi...
Tanzania imeishageuka na kuwa nchi ya kusadikika na walioigeza hivyo ni watawala wa taifa hili la Tanzania.Jaribu kutazama vizuri utabaini madudu mengi yanayofanywa na watawala wa taifa hili...
Habari wakuu kuna habari zimezagaa hapa dodoma kuhusiana na sakata la gesi na chama cuf, baadhi ya watu wa karibu na msajili wa vyama vya siasa wanadai '' barua ya mapendekezo ya...
YA MRWARA NA UTAJIRI WA MALIASILI ZETU
Baada ya Mtwara sijui ni wapi patafuata. Yaweza kuwa Arusha (Tanzanite), Shinyanga (Almasi na Dhahabu), Mwanza (Samaki), Mara (Dhahabu) na kwingineko kwingi...
Kafara ni uhai unaotolewa wa kiumbe flan asiye na hatia kwa ajil ya maslah ya watu flan. wanamtwara mpaka sasa wameshamwaga damu zao kwa ajil ya kusimika ujengwaj wa bomba hili. na bado bomba hili...
Baada ya kuona matumizi ya scanner na tiketi zenye bar-code yanaongezea mapato Serikali na kuzuia mianya ya wizi mkubwa waliokuwa wanafanya awali, wahusika wa TAMESA katika kivuko hicho wamebuni...
MAWAZO HURU: mimi sio sawa wananchi kuchoma nyumba za mahakama, nyumba za voingozi kama wabunge, kzuia magari yasipite, naungana na kilio cha wanamtwara lakini kudai haki si kwa kufanya haya. haki...
Wana JF kuna jambo linanitatiza.....nimekuwa nikifatilia kwa umakini sana vipindi vya bunge na swala zima la Mtwara..Kauli ya Serikali iliyotolewa na poyoyo Nchimbi leo asubuhi na bwana cheka JK...
NAPATA wasiwasi huko tunapoelekea sipo mfano kuhusu suala la gesi inabidi kufanyike mazungumzo ya kina na wananchi wa Mtwara lakini katika hali tete kama hii vitisho havisaidii nadhani huko...
na Edson Kamukara, Dodoma | Tanzania Daima | Mei 23, 2013
BUNGE limeelezwa madini yenye thamani ya sh bilioni 13.12 yamesafirishwa nje ya nchi kinyume cha sheria kwa kipindi cha kuanzia Oktoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.