MATUKIO YA AFRIKA
Tanzania ina hali mbaya kuelekea 2015
Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wasiwasi umeanza kuzuka kwamba taifa hilo lililosifikana kuwa kisiwa cha...
Jamani walioko mtwara tunaomba mtupe ukweli maana Emmanuel Nchimbi kakanusha kuwa hakuna mtu aliyekufa Mtwara kuna majeruhi wa 2 na waliokamatwa na polisi 91 na kuna JWTZ walikuwa wameombwa...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ameandika barua kwa Katibu Mkuu TAMISEMI ya tarehe 12 April 2013 ya kutaka waalimu wote wa sekondari na shule za msingi wazuiwe kusimamia uchaguzi wa serikali...
Wananchi wengi wa Tanzania Tunataka Mabadiliko chanya ya Taifa letu,lkn viongozi wanaopaswa kutuongoza katika mabadiliko Wanaendekezakupigania maslahi ya vyama kuliko maslahi ya taifa...
Katika hali isiyotarajiwa, Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano na maonyesho ya bidhaa za wakandarasi yaliyoandaliwa na bodi ya usajili wa makandarasi...
SIDHANI kama kuna atayeshangaa akikiona Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaangushwa katika uchaguzi ujao wa 2015. Uwezekano wa CCM kwenda kapa 2015 ni mkubwa endapo uchaguzi wa mwaka huo hautokuwa na...
Anaendelea kuwasilisha hotuba ya wizara ya nishati na madini, Muhongo ameanza kwa kuelezea kwa undani na kwa ufupi kazi ambazo wizara imezifanya tangu yy aingie madarakani na kuhusu mipango na...
UGUNDUZI wa gesi asilia mkoani Mtwara umegeuka laana kwa wakazi wake wanaoishi maisha ya wasiwasi hivi sasa.
Sauti za milio ya mabomu, risasi, na vipigo ndivyo vinavyonekana kushamiri zaidi...
Ndugu Wananchi,
Kufuatia Vurugu zinazoendele Mtwara, Mauaji ya Raia na Uharibifu wa Mali na Miundombinu, na kauli ya Mheshimiwa Rais ilitolewa jana. Mwenyekiti wa CUF -Chama cha Wananchi ...
Kuna habari kwamba Gari ya JWTZ kutokea kambi ya Nachingwea imepata ajali mbaya na kusababisha maafa ya askari kadhaa hatuna idadi kamili...
Hapa Hapa JF ndipo tunapojuzana habari hizi,hapa...
Ameandika kwenye facebook page kuwa yuko safarini kuelekea Mtwara. Hakueleza kama anakwenda kufanya nini.
Hii hapa status yake:
Sadifa JumaTANURU LA FIKRA
Safarini Mtwara!
Hii ni mojawapo...
Akisoma taarifa mpya Bungeni waziri Nchimbi amesikika akitamka wazi askari wawili wamejeruhiwa kwa Bomu la kishindo huko Mtwara. Kuna maswali kadha wa kadha juu ya hii kauli ya bomu la kishindo ni...
Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM ndg. ATHUMAN MBWANA ameshtakiwa na wapinzani wake katika kinyang'anyiro hicho juu ya mwenendo wake wa Kugawa madawati shule ya msingi PONDA, kisha kuagiza GREDA...
Hakuna mtu yeyote anayeunga mkono vurugu na vitendo vyote vya uvunjifu wa amani uliotokea na unaoendelea huko Mtwara juu ya madai ya kutokubaliana na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda...
Watanzania tumeze moto tu hata kama moto ...ukweli kwa hali iliyokuwa inaonekana na kilichotokea jana hapa Mtwara ukweli ulio wazi jambo hili lilipangwa na wako wanaoliongoza ila walikuwa...
Hotuba aliyomaliza kutoa Rais Obama kuhusu hali ya usalama US imenifanya nikajuiliza maswali mengi hasa uwezo wake wa kuweza kuzungumza na wananchi hata katika hali ya hasira na kutupiwa lawama za...
Chama cha Mapinduzi-CCM au chama Twawala kinapaswa sasa kuketi chini na kutafakari kwa kina kinataka kuipeleka wapi nchi hii iliyokuwa nchi ya Amani,Upendo na Mshikamano wa kupigiwa mfano Afrika...
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ripoti ya utafiti juu ya ushirikishwaji wa raia katika mchakato wa uanzishwaji wa Jumuia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.