Tanzania nchi ya kusadikika???

Tanzania nchi ya kusadikika???

REAL ACTIVIST

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
39
Reaction score
5
Tanzania imeishageuka na kuwa nchi ya kusadikika na walioigeza hivyo ni watawala wa taifa hili la Tanzania.Jaribu kutazama vizuri utabaini madudu mengi yanayofanywa na watawala wa taifa hili ambalo limeishakuwa la kusadikika.Mifumo mingi imetelekezwa ijiendeshe na kujisimamia yenyewe huko watawala hawa wakikweta raslimali zote za nchi na kujirimbikizia mali nyingi.Nchi imekuwa kama haina sheria,watawala wapo huru kujiamulia lolote ilimradi wameshauliwa na wake zao.Sasa basi nawauliza nyie wadau wenzangu mnafikiri ni nini kifanyike ili kurudisha heshima ya taifa letu ambayo watawala hawa wameiharibu?
 
Back
Top Bottom