Chanzo cha vurugu ya gesi Mtwara ni hiki

Chanzo cha vurugu ya gesi Mtwara ni hiki

SWAZI

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
19
Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza kigumu kwa maslahi ya watu wa nje ya nchi na ruling elites.

In short hakuna sera ya gesi iliyoandikwa kwa lugha ya taifa la Tanzania

Nii pia ni pamoja na miswada na sheria mbali mbali ambazo zimeandikwa na civil servants wetu ambao hawaoni umuhimu wa kuiandika kwa kiswahili lugha ambayo inazungumzwa na waTanzania wote.

Hii ni deliberate attempt by the ruling elites/class to make all Tanzanians look stupid and ignorant.

Mtwara+4.JPG
 
Kila kitu kina pa kuanzia. Ukombozi wa kweli wa Mtanzania unaanzia Mtwara.
 
wanamtwara wameonesha ubaguzi,ubinafsi.na uchoyo tu hapo kila mkoa ukikatalia chake utaifa uko wapi
 
Elimu pia ni chanzo. Angalia asilimia ya wasiojua kusoma

Lindi 44.8%
Mtwara 30.3%

Na wanaojua kusoma basi unaelewa ubora wa elimu yetu
 
natafuta uhusiano uliyopo kati ya ghasia za mtwara (gesi) na hilo bango! je chanzo ni nini?
 
Acha tutumbuane weeeeeee! Maisha yenyewe mafupi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
natafuta uhusiano uliyopo kati ya ghasia za mtwara (gesi) na hilo bango! je chanzo ni nini?

upuuzi wa CCM wa kutaka Dar iwe ahera kwingine kwa washenzi pawe jehanam
 
wanamtwara wameonesha ubaguzi,ubinafsi.na uchoyo tu hapo kila mkoa ukikatalia chake utaifa uko wapi
Ni kweli Mkuu lakini kwasasa madai yao yana maana sana kwa maendeleo ya maeneo hayo, hili la gas wanalitumia kama njia kudai maendeleo yao, ni vizuri wakasikilizwa na kuendelezwa.
 
wanamtwara wameonesha ubaguzi,ubinafsi.na uchoyo tu hapo kila mkoa ukikatalia chake utaifa uko wapi
kuna sababu nyingi za za kuwafanya watu wakatae mradi huo, mbali na hiyo unayoisema, tuhuma za rushwa iliyopelekwa kweny bank za uswis ni sababu tosha za kulinyanyuwa taifa (si wana mtwara tu) kuupinga huo mradi!
 
Elimu pia ni chanzo. Angalia asilimia ya wasiojua kusoma

Lindi 44.8%
Mtwara 30.3%

Na wanaojua kusoma basi unaelewa ubora wa elimu yetu
kwa mikataba hii ya kutanguliziana rushwa kwny benk za nje kamwe hatuwezi kurais fund za kutosha kuwekeza ktk miradi ya maendeleo including elimu!. Kwanini watu wasiwe wajinga? Watu wa mtwara wana ujumbe mzito kwa selikali hii ya kifisadi.
 
wanamtwara wameonesha ubaguzi,ubinafsi.na uchoyo tu hapo kila mkoa ukikatalia chake utaifa uko wapi
unposema jiulize pia, kwa nini ajira kupitia viwanda hapa nchini iligawiwa kwa kufuata ukabila? Mikoa ya kusini haikutizamwa ki ajira katika kugawa viwanda hapa nchini. Mahindi yalimwe kwa wingi Ruvum,a halafu kiwanda cha majenbe kijengwe Dar ES Salaam? Tumbaku ilimwe kwa wingi Ruvuma na Tabora lakini kiwanda kijenwe Dar ES Salaam?

Ntwara ni chimbuko la ukombozi wa watu wanyonge Tanzania. na kama wakusini wakikaa kimyaa, basi watazeeka bila ya kujua ajira wala kuwa na bakery. Mikoa yote ya kusini haina viwanda vya mikate, kwa sababu ya idadi ya watu wake hawana kazi wala enough income ya kununua mikate. Sasa wakae hivyo mpaka lini?
 
Ndugu zangu wamakonde, Wamakuwa na Wayao tujiulize maswali madogo tu hv gas ikibakia kwetu mtwara bila uwekezaji na power plant ile ya mdenga karibia na Olam ikafungwa je tutakuwa tumenufaika chochote?

Hv magari ya halmashauri muliyoyachoma moto ni magari ambayo yanatokana na kodi zetu za korosho hvo ni mali zetu wenyewe tutambue tumejirudisha nyuma mara mia...hakuna gari za wagonjwa zote zimechomwa moto haya tutapelekwa ndanda, nyangao hospital na magari toka wapi? Hz vurugu zitapita na zitaisha ni upepo tu lakini tayari tutakuwa wenyewe na shida zetu.

LEO wanaotushangilia ni hao hao walikuwa wanatudharau na kutub
 
Leo kila mtu ati ukombozi wa kweli unatokea mtw wakati wao ndio walikuwa vinara wa kweli kutudharau na kutuona sio chochote....hawa wenzetu hawana parmanent friendship wanaparmanent intetest...ni hwa hawa kesho watawacheka.

chonde chonde gas inatutende tuve amasikini tunalime wala tunatende chochohe nundu tukava na indala vanatuheka na serikali inatuheka pia. Tutende kazi kwani aneo upepo unapita na ntwara inabakila kuva yetu na mwanza, arusha kunabakila kuva kwao......kabla tukanatenda tufikirii kadiki.
 
Back
Top Bottom