Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, kwa hali ilivyo sasa na hasa kwa wakazi wa Dar Es Salaam, Jiji linalochangia kwa kiasi kikubwa mapato katika Tanzania, hali ya msongamano wa magari na foleni barabarani inatisha. Watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nachukua fursa kumshukuru Mungu kwa uwezo wake Karima kutuamsha na kutuwezesha kupumua kwani ni wengi wetu hawajapata fursa hii adhimu,pia ni waombe dua njema kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa neema...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mjumbe wa kamati kuu taifa na mbunge wa arusha mjini g.lema,leo kumshukia lowasa na helcopter makuyuni kwenye kampeni za udiwani akiwa na mgombea udiwani kwa tiketi ya chadema na kurusha...
9 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwa waliosoma art of public speaking watanielewa vizuri zaidi. Kufikisha ujumbe hakutegemia tu aina ya maneno yanayosemwa au kusomwa, bali hutegemea pia lugha ya viungo (body language), sauti...
21 Reactions
36 Replies
4K Views
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida niliyechoshwa na utawala mbovu wa serikali ya ccm nimeamua kuuliza tafakuri hii kwani mda uliobaki ni mchache mno! Ningependa viongozi wa chadema waweke japo kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu wa JF, Kampeni za uchaguzi wa vijiji vipya katika Jimbo la Iramba Magharibi zimepamba moto. Kwa upande wa CHADEMA, kama ilivyokwisharipotiwa kampeni hizi zinaongozwa na Bwana anayeitwa Ali...
18 Reactions
63 Replies
6K Views
Sitta, Mwakyembe wasutwa • Ngeleja awatolea uvivu na Mwandishi wetu, Dodoma ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amewashutumu wanasiasa wenzake kuwa siasa zao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ajabu eti J4 Kawa-mbwa bado anang’ang’ania huku Njaa Kaya akijifanya haoni ushuhuba wao unavyoharibu kaya! Wanafiki watupu na wachumia tumbo walio tayari kuteketeza kaya kwa maslahi yao uchwara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuunda katiba mpya TANZANIA SIO TAIFA LA DINI YOYOTE Tanzania haitumii Quruani wala Biblia kufanya maamuzi kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mlinzi hata uwe unalinda na Mbwa mkali ukiibiwa utalaumiwa peke yako hata Mbwa awe ni mkali vp. Suala la mtwara serikali ya CCM ilishindwa kufanya yafuatayo. 1.Kutafuta taarifa zilizopelekea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu wa rais zanziba mh maalim seif akizumngumza jana kwenye kongamano alisema wanataka zanziba yenye mamlaka kamili akisema hayo ni maoni ya wananchi wengi wa wa zanziba na wengi wlielelezea...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Mbunge wa Nzega Saidi Bagaile (Dr. Hamis Kigwangala) amenafika hivi kwenye wall yake ya Facebook Miongoni mwa watu wanaotazamiwa kuchukua fomu kuwania Urais ni Mhe. Bernard Membe, Mhe. Mwigulu...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
SIKU chache baada ya Serikali kuahidi kusaka kokote duniani wachochezi wa vurugu za Mtwara, Chama cha Wananchi (CUF) kimeibuka na kudai hakihusiki. Chama hicho kimedai kupata taarifa ya kuwapo...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Ndugu wana jf. "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK" Nimeona nianze na hayo maneno kwanza. Jana nilianzisha uzi hapa jamvini unaosema CHAMA GANI MAKINI, NATAKA KUJIUNGA NACHO?. Kwakweli...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Sunday, May 26, 2013 | 12:47 PM Read more:TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU OPARESHENI INAYOENDELEA MTWARA - GUMZO LA JIJI
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kampeni za uchaguzi wa udiwani ktk kata ya MANCHIRA hapa wilayani serengeti zilianza tarehe 19.05.2013 ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleleo CHADEMA kilizindua kampeni zake ktk kijiji cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi nashangaa vijana tunabishana kuhusiana na vyama vya siasa....tena mpaka kutukanana.Mimi kama mimi siangalii CCM,CHADEMA wala CUF ila maendeleo kwa vijana na watanzania kwa ujumla.Siasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu, KWETU wanadamu, mengi yanayotufanya tufarakane na hata kugombana yanatokana na sisi wenyewe wanadamu. Na ndivyo ilivyo hata kwa ndege na wanyama. Ukiwaona ndege wanagombana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…