Watanganyika kuto kuona yao

Watanganyika kuto kuona yao

abdul 28

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2012
Posts
325
Reaction score
38
watanganyika walio wengi husema eti zanzibar ikijitowa ndani ya muungano watapigana na kubaguwana

huu ni uzushi na khofu isiyo na msingi na kwanini watananyika muwaonee huruma wazanzibari wakati wenyewe wamesha amuwa kulikataa dubwana muungano

je mtanganyka gani mwenye uhakika kama tanganyika itakuwa salama baada ya zanzibar kujitowa ndani ya muungano

udini unafukuta nani anahakika atauzuwia udini usije kuleta maafa maana dalili zimeanza

ufisadi wa mali za asili gesi mtwara dhahabu mapigano ya wachimbaji wadogo na wageni pia na serekali

migogoro ya aridhi mfano laliondo

matatizo ya ugomvi wa wafugaji na wakulima

siasa chafu uchaguzi uliopita tumeshuhudia watu wa tanganyika wakikatana mapanga kati ya chadema na ccm
uteiaji na uuwaji watu mwagosi ulimboka

tanganyika haiku batizwa au kuombewa duwa na mtume muhamad hivyo munacho watabiri wazanzibar na nynyi kinaweza kutokea kwenu tanganyika

kwa sasa tanganyika nishamba la bibi wazungu wanachota mali wachina wanachota mali nafedha za mikataba ya ukandarasi

wana siasa wanatumbuwa na kupharibu nchi
 
Kila mtu ana haki ya kuchagua, kama wengi hawautaki muungano kwanini ung'ang'aniwe? adui wa kwanza kwa binadamu ni uoga na uoga mbaya ni ule wa kuthubutu. kama wazenji hawataki muungano basi watanganyika wathubutu kuuvunja.
 
Hata KIDOGO... LISEMWALO LIPO... Ni kwanini Wazanzibari hawataki kusikia SALIM AHMED SALIM anagombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA???

Ana kosa GANI? Amegomewa na Wana CCM upande wa ZNZ karibia Mara tatu ndani ya CCM - NEC...
Na Wanasema Maneno Machafu dhidi yake; lakini ukiangalia Wazanzibari wanajiona Wako karibu na Waarabu kuliko sisi NGUZI NYEUSI Waafrika...

Sasa hiyo tuiitaje???

*** UGOMVI wa WAFUGANI na WAKULIMA - LOLIONDO ni kwasababu ya ARDHI imekuwa KIDUCHU baada ya MWARABU KUGAWIWA ENEO LILILOKUWA linatumiwa na WAFUGAJI...

**** Matatizo ya KISIASA kati ya vyama vya kisiasa sio DODOSO la kushaabikia kuwa ni KUTOKUWEZA kuishi PAMOJA

EMBU ANGALIA wabunge wengi wa PEMBA ni wa chama cha CUF sasa hapo unataka kutueleza nini kuhusu hilo suala???

***** Issue ya Mwangosi; Ulimboka ndio HIYO INAONYESHA Jinsi NGUVU ya DOLA ILIVYO na Jinsi ni Bora kuhimiza Demokrasia ya Kweli; Hata ZNZ wanawamwagia TINDIKALI Ma-SHEIKH; Ina Maana ni Kwasababu ya UBAGUZI?

****** Una Maana Zanzibar na Pemba zimeombewa duwa na kubatizwa na MTUME MUHAMAD? Karne ya 16 kulikuwa hakuna UISLAMU Zanzibar na Pemba... na Kulikuwa na Wananchi wenye IMANI zao wakiishi kwa USALAMA... kabla ya Waarabu na Wazungu kuingia na kutuletea DINI zao...

********* Kwanini sasa Zanzibar inataka Masuala ya GAS na OIL yaondolewe kwenye MUUNGANO; ni Nani MWENYE TECHNOLOGIA ya kuchimba hizo GAS na OIL huko PEMBA??? NI MZUNGU Pekee... kwahiyo UKIONA Mwenzako ananyolewa KIPARA; Jitayarisha na WEMBE MPYA kunyolewa KIPARA...
 
Kila mtu ana haki ya kuchagua, kama wengi hawautaki muungano kwanini ung'ang'aniwe? adui wa kwanza kwa binadamu ni uoga na uoga mbaya ni ule wa kuthubutu. kama wazenji hawataki muungano basi watanganyika wathubutu kuuvunja.

We can do without them but they cannot do without us.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama mna uwezo huo si muondoke! kwa nini mnataka Tanganyika ndiyo iwaache?
Kama mna umoja huo toeni hoja ya kujitoa kwenye Muungano katika Baraza la wawakilishi na iungwe mkono na robo tatu ya Wawakilishi ili mjondoe (najua hamjawahi kufanya hivyo) kwa nini?

Kama mna jeuri hiyo na umoja huo mbona kuna Wawakilishi wenu kwenye Bunge la Muungano na hakuna yeyote
aliyekwisha wahi kuleta Muswada ama hoja ya kujitoa? Tunaona wanakula posho na kuondoka!

Kama mna umoja huo mbona Viongozi wenu wa Serikali ya Mapinduzi hawajawahi kukubaliana kujitoa?

Kama mna nguvu hizo mbona kila mwaka mnapokea kutoka bara fungu la Bajeti?
Na mbona mnatumia Umeme wetu?

Yaani kula hela ya Bwana unataka, kulala kwenye nyumba yake unataka, kuondoka kwenye ndoa hutoki halafu
bado unasema "Bwana huyu mbaya miye hata simpendi"
 
watanganyika walio wengi husema eti zanzibar ikijitowa ndani ya muungano watapigana na kubaguwana

huu ni uzushi na khofu isiyo na msingi na kwanini watananyika muwaonee huruma wazanzibari wakati wenyewe wamesha amuwa kulikataa dubwana muungano

je mtanganyka gani mwenye uhakika kama tanganyika itakuwa salama baada ya zanzibar kujitowa ndani ya muungano

udini unafukuta nani anahakika atauzuwia udini usije kuleta maafa maana dalili zimeanza

ufisadi wa mali za asili gesi mtwara dhahabu mapigano ya wachimbaji wadogo na wageni pia na serekali

migogoro ya aridhi mfano laliondo

matatizo ya ugomvi wa wafugaji na wakulima

siasa chafu uchaguzi uliopita tumeshuhudia watu wa tanganyika wakikatana mapanga kati ya chadema na ccm
uteiaji na uuwaji watu mwagosi ulimboka

tanganyika haiku batizwa au kuombewa duwa na mtume muhamad hivyo munacho watabiri wazanzibar na nynyi kinaweza kutokea kwenu tanganyika

kwa sasa tanganyika nishamba la bibi wazungu wanachota mali wachina wanachota mali nafedha za mikataba ya ukandarasi

wana siasa wanatumbuwa na kupharibu nchi
Zenji walipie gharama zote kuuvunja muungano
 
Uk na USA muungano umetulia hauna kero Nchi zinaongozwa na magavana na mawaziri wakuu tu hapa kwetu wamegoma kuiga miungano bora wamebaki kung'ang'ania muungano usio digital muungano analogies huu muungano ukienda na wakati Hakika kero zitayeyuka kama barafu huku bara atawale gavana na Zanzibar atawale gavana Rais awe mmoja tu aishi Dodoma kero za muungano zitabaki Kuwa historia
 
Hii ngoma ngumu,imemshinda kuimeza nyerere muje kuweza kuimeza nyie vitukuu,kabla hamjawaoneshea kidole wazenj jitazameni nyie kwanza mko na hali gani?ufisadi, udini na udikteta vitakuangamizeni,JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.
 
Back
Top Bottom