nimeshangazwa sana na kauli ya tendwa kwamba zinapotokea fujo kwenye mikutano ya siasa chama kifungiwe kufanya mikutano sehemu hiyo na akatoa mfano kwamba ndani ya bunge sheria zibadilishwe kwa kuwa sasa hivi mtu anaweza kusema Waziri mkuu ni mpumbavu na yote hii anataka kuweka mazingira ya kuwabana chadema. Vurugu zote zinazotokea kwenye mikutano ya chadema anashindwa kuweka wazi kwamba, azisababishwi na chadema bali zinasababishwa na polisi kuingilia mikutano hiyo kwa kutumia nguvu. ila wanachadema tusikate tamaa mengi yatasemwa ila ukweli utakapokuja kueleweka lazima kutakuwa na uwajibikaji kwa wate waliousika,chadema kama chama kinachopendwa na watanzania wengi watazingiziwa mambo mengi kiasi kwamba hawaoni haibu eti chadema wanaweza kutega bomu ili wajiue pamoja na viongozi wao eti kwa kutaka umaarufu,kwa kauli hii hata watoto wanawashangaaKwa wale wenye muda kufuatilia, namuona Tendwa yuko Start Tv, kwakuwa huwa kuna fursa ya kuuliza maswali, wenye nafasi tumuulize.
Kama kawaida ameanza kwa kuwaponda CUF na CDM
Huyu hana jipya... amechoka! Amebakiza unafiki.
...eti anasema kichwa cha habari gazetini "Chadema wamvaa Tendwa"..ni kichwa cha habari cha kuudhi, chenye kumdhalilisha na si cha kidemokrasia