Kuelekea Uchaguzi wa 2015.

Kuelekea Uchaguzi wa 2015.

hacena

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
617
Reaction score
208
Napenda kutoa ushauri wa bure na wa upendeleo kwa chadema kuwa, mwakani tutaanza kufanya maboresho kwenye daftari la kupiga kura, hivyo ningewaomba mfanye kampeni ya watu wengi au wote wenye sifa ya kujiandikisha wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na mwaka 2015 watakaokuwa wamehama wahamishe kumbukumbu zao na mwisho waandae utaratibu wa kuwapatia usafiri wanafunzi wa elimu ya juu kuepuka mizengwe ya kama ya 2010.
 
mnaiota ikulu mtaji huo wanachuo bado hauwezi wapeleka ikulu na mnawapata wengi coz hawaju maisha wadanganyika na sera nyepesi wengi wavivu..na hawawezi pima mambo hususa ya kiuchumi wanaambiwa ndani ya miez 6 kila kitu kitashuka bei jaman yanashangilia fanyen kazi km unasoma soma kweli..
 
Ukitaja uboreshaji wa daftari la wapiga kura ccm wanajisikia kuhara kwa uoga. Magamba wanatambua kuwa kuboresha daftari la wapiga kura ndiyo kifo chao, kwani vijana wengi ambao wao wamekuwa wakiwaita wahuni, wamehamasikia na wana shauku kubwa ya kuleta mabadiliko. Hivyo watajiandikisha kwa wingi na hilo ni pigo kwa ccm ambayo mtaji wake mkubwa kwa sasa umebaki ni vikongwe.
 
Hili naendelea nalo kila siku kwa mazingira yangu nilipo,nawanoa vijana mpaka basi
 
Back
Top Bottom