Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake. Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao...
1 Reactions
5 Replies
747 Views
Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine...
0 Reactions
4 Replies
575 Views
KUTOKA MTANDAONI "The morphing of dictators" refers to the concept that authoritarian leaders, even those starting with good intentions, often evolve into more ruthless tyrants over time due to...
1 Reactions
4 Replies
590 Views
Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani'' Soma pia: H Polepole: Serikali ni...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi. Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
36 Reactions
505 Replies
59K Views
Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Nauliza jamani ukiwa kama Mtanzania Mzalendo unayeipenda inchi yako ambayo unaitakia mema kwa maisha yako na vizazi vijavyo utasimama na nani?
0 Reactions
10 Replies
543 Views
Wakuu -miezi kadhaa nyuma waliibuka vijana wakijiita NETO wakisema ni umoja wa vijana wasio na ajira. Ningependa kujua wako wapi , na wamefikia wapi?
3 Reactions
25 Replies
886 Views
Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka...
25 Reactions
180 Replies
27K Views
Napita huko mitandaoni ya kijamii nakutana na post kibao juu ya huyu jamaa. Je huyu ni nani na kwa nini ametekwa? Je, ni mwanasiasa?
0 Reactions
4 Replies
632 Views
GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
16 Reactions
46 Replies
2K Views
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa. Kipekee nampongeza...
23 Reactions
691 Replies
259K Views
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Usalama kwanza Tusilichukulie poa neno hili la no reforms no election. Watanzania tuna haki ya kujua kama siku hiyo tutarajie kuona, kusikia au kupatwa na kitu gani kutokana na harakati za kuzuia...
3 Reactions
63 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imechukua hatua mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Miundombinu, kusimika mifumo bora ya TEHAMA na kushirikisha Wadau wa Sekta Binafsi wakiwemo...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Anakata internet Polepole akiwa live, live ikiisha anarudisha internet na kutupa fursa ya kuangalia alichokisema polepole, yani hata kama ulikuwa umesahau basi ni lazima utakumbuka maana ukiona tu...
7 Reactions
17 Replies
966 Views
CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Salaam, shalom!! Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, tayari tumekwisha ona homa ya Uchaguzi, HOFU kubwa ni kutoboa na kupata ushindi 2025. Wapo watia Nia ambao wamekwisha Anza compaign kabla ya Uchaguzi...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Naauliza tu Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
1 Reactions
8 Replies
530 Views
Back
Top Bottom