The man of the people ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Iliandikwa na Chinua Achebe mwaka 1966 kujadili siasa, rushwa na ubinafsi...
Ninawaambia, kama mtashindwa kuitumia zawadi hii ambayo mh polepole ameamua kuwapa—zawadi ambayo kwa namna yoyote ile imewapa kibali wahuni kumwua mh Polepole...
Zawadi ambayo mh Polepole...
Je mnaweza kujiuliza simple question why TAL alikuwa ndo MTU wa kwanza kuulizia alipo Magufuli?
Kitu amabacho vijana manoteseka , kupotea na kupotezwa nawaonea sana huruma IPO siku nitwapa ukweli...
Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko.
Ni jambo la maana sana...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Tanzania yetu zinazokwenda kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa", kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na...
Wanabodi,
Shurti la Mgombea Uongozi wa Umma, Kudhaminiwa na Chama cha Siasa ni Sheria Mbovu, ni...
Kinyume cha Katiba,
Kinyume cha Universal Declaration of Human Rights
Kinyume cha The United...
Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine...
"Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana...
Ongezeko la kiwango cha uzalishaji wa mazao ya chakula, Mwaka
2014/15 kiwango cha uzalishaji wa mazao ya chakula kilikua ni tani
16,015,238 ambapo utoshelevu wa chakula ulikua ni asilimia 125...
Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa...
Nilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America".
Andiko lake lile...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Bwana Kenani Kihongosi amejigeuza mfalme au igwe kwa kuchukua sheria mkononi na kuwadhalilisha watu na familia zao.
Wafanyabiashara hao wakiwa wamevalia overalls au nguo...
UTANGULIZI,
Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini...
|||
Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne...
Rais Samia katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ameendelea kutekeleza kwa mafanikio makubwa katika Mkoa wa Tanga. Hadi kufikia Machi 2024/2025...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi trilioni 3.5 mwaka 2024, huku mapato ya ndani ya...
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025)...
https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc
Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4.
Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.