Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama...
15 Reactions
62 Replies
2K Views
ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha na wakamka, ndivyo hivyo Chaumma ni project ilikuwa inahusu ubwabwa leo hii inamgombea Amesema Polepele
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Uchaguzi ni kama maigizo ya pwagu na pwaguzi Tume tayari tunajua wizi wa data chaguzi CCM A VS CCM B Polepole kapiga msumari wa mwisho
3 Reactions
3 Replies
261 Views
CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa. Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa...
3 Reactions
7 Replies
511 Views
Watanzania wangekuwa wanajitambua hata kwenye mikutano yao wangewasusia kabisa hawa wahuni wanaotaka kuaminisha umma kuwa kuna vyama vya upinzani kumbe ni tawi la chama chenye manyaya makubwa...
3 Reactions
0 Replies
151 Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema...
16 Reactions
120 Replies
5K Views
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi...
0 Reactions
16 Replies
637 Views
Pongezi kwa Pole Pole na Nape. Jamani sijaamini kama CCM wangekuwa na mchezo mchafu wa mfimo wa uchaguzi. Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote na tumsamehe inawezekana kipindi akiwa kule alikuwa...
2 Reactions
4 Replies
556 Views
Mwenyekiti wa CCM ni kama pambo tu haelewi yote. Mfano inawezekana haija ambiwa kwamba CCM wanapata data za NIDA kinyume cha sheria. Tekateka imeundwa na wateule wake. Kuna wateulewake wanaenda...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi katika mambo ambayo siyapendi ni kutumia nguvu kubwa kumziba mdomo mwingine asiongee jambo nisilolipenda, bata huku jamiiforums napenda wale wanaokosoa na kamwe siwezi waweka kwenye ignore...
3 Reactions
35 Replies
894 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma leo, Agosti 22, 2025, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mchungaji Dk. Godfrey Malisa aliyepinga uhalali wa Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Great Thinkers. Leo tunashuhudia Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA akishtakiwa kwa kosa asilotenda la Uhaini. Sote yaani sisi raia na mpaka wanaomshtaki wanajua Lisu hajatenda wala kuthubutu kuwa...
3 Reactions
2 Replies
519 Views
Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso...
7 Reactions
15 Replies
760 Views
Haya ni matusi kwa Mheshimiwa Dr Mboe na Advocate Hashim. Viongozi wenye Heshima duniani kupewa kashfa na kijana asie mwerevu. Pia, CCM tunashinda kihalali (hoja, kampeni Safi, ilani murua)...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Website mpya ya TRA inatuchanganya mambo mengi yameodolewa ni kwanini? Sheria zote za kodi na mapato mengine vimeondolewa. Tafadhali rudisheni sheria zote zilizokuwepo pamoja na decided tax cases.
1 Reactions
9 Replies
751 Views
Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
0 Reactions
2 Replies
216 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele...
0 Reactions
6 Replies
734 Views
Back
Top Bottom