kabhakulu.com
Member
- Apr 17, 2013
- 70
- 8
Kwa mara nyingine tena police wamenaswa na meno ya Tembo. Huu ni umaskini unaowasumbua ndio maana tuhuma kama hizi kwao haziishi. Alafu wanaendelea kuwa vibaraka wa CCM wakati hali yao ni ngumu sana
Hovyo! Jipange uje na taarifa inayoeleweka
Figa mimi ni mwanaharakati na tunataka tunapoisulubisha serikali tuwe na taarifa sahihi timilifu sasa hii post haina mashikohovyo kivipi unataka kusema nyie sio wezi?. mia
Kwa mara nyingine tena police wamenaswa na meno ya Tembo. Huu ni umaskini unaowasumbua ndio maana tuhuma kama hizi kwao haziishi. Alafu wanaendelea kuwa vibaraka wa CCM wakati hali yao ni ngumu sana
Ndio nini sasa?ndio maana mimi jf huwa msomaji tu wa thread sio lazima kila member awe ripota hapa wengine tubaki wasomaji inatosha,