Sema Usikike: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada Mbunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sema Usikike: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada Mbunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tujisenti, Feb 10, 2009.

 1. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika gazeti la Sema Usikike la leo tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka Magharibi.

  Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwao.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Kwa ambao hatujapa nakala tungependa utupe maelezo zaidi. Hii uliyobandika hapa ipo juu juu saaaaaana ati!
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hii habari ni kubwa sana ila bado imefichwa fichwa. Kama kama kuna mwenye undani kamili wa hii issue basi atupe links au hints za wapi tuifuate.

  Hata hivyo ni hatari sana. Inabidi kuwa waangalifu na watoto wetu wa kiume. Maana zamani tulizoea kuwalinda binti zetu tu na kuwaacha watoto wa kiume kuzurura hovyo. Inapofikia kwamba hata Ex-PM ni mteja wa tigo, basi hiyo ni hatari sana. Nadhani kama mambo ni hayo tunaweza kulazimika kuwaomba wawe wawazi kuliko kuendelea kujificha ficha.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hizi habari ni Tanzania ama? maana mawaziri wakuu Tz hawazidi, 10
  Malecela, Msuya, Sumaye, Warioba, Salim Ahmed Salim, Lowassa, Kawawa, Pinda wengine kama Sokoine na Nyerere waliisha kufa....sasa ni yupi...(Kawawa ameisha kwa uzee), wengine wanawake zao isipokuwa Msuya nadhani alifiwa na mkewe sijui issue ya remarrying!!
   
  Last edited: Feb 10, 2009
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu, Pinda ni waziri mkuu sasa na siyo waziri mkuu wa zamani kama taarifa inavyosema. Ukiacha Kawawa, wengine wote bado wanadunda. Labda utumie ujanja wa kunyofoa ambao hawako Dom sasa! Kwa hiyo utabaki na EL na Mzee mzima Malecela???
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  .........yaani kamuweka kimada..na huyo aliewekwa kimada ni Mbunge..alafu ni mwanaume.....=mhh hii laana uuuuuuwi!
   
 7. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Story inasema: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada shoga
  -shoga mwenyewe ni mwanasiasa mwenzake
  -atanua naye zaidi anapokuwa mjini Dodoma
  Waziri mkuu wa zamani anatuhumiwa kumuweka kimada mwanasiasa mwenzake mwanaume amabye anaaminika kuwa ni shoga na sasa anaelezwa kuwa karibu naye kama nyumba ndogo ya mheshimiwa huyo.Habari za muda mrefu zinaeleza kwamba mapenzi kati ya Waziri Mkuu huyo wa zamani na mwanasiasa huyo shoga si siri tena kwa wengi hali ambayo imeeleza kutishia hata ndoa yake.Imeelezwa kwamba kabla hata ya kuingia siasa mwanasiasa huyo shoga amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na waziri mkuu huyo mstaafu tokea akiwa mtumishi wa taasisi moja ya serikali.
  Habari zaidi zinaeleza kwamba mahusiano kati ya wanasiasa hao wawili yamekuwa yakiwakera hata baadhi ya marafiki wenzao wa karibu ambao wameelezwa kusikia kinyaa kutokana na mahusiano kati yao wakiwa watu wa jinsia moja.
  Mwanasiasa mmoja aliye karibu na wapenzi hao wawili ameliambia gazeti hili kwamba kitendo hicho ni uchafu uliokithiri hasa kwa watu ambao wanapaswa kuwa mfano kwa jamii inayowazunguka."Inatia kinyaa maana huu ni uchafu uliokithiri kwa wanaume kuwa wapenzi tena bila hata aibu. Na kwa kuwa wanaogopwa najua hata wee hutaandiika" alisema mwanasiasa mmoja aliyeko Dodoma-------------------
   
 8. G

  Ghwakukajha Senior Member

  #8
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wabongo kwa "udaku" aaah,hamjambo!!Its unless there comes to substantiate this or it ll remain to be ze udaku.Si kila jambo linaloripotiwa na hivi vyombo vya habari lina ukweli ndani yake.Though wanasema lisemwalo lipo.
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwani Sumaye anakuwepo Dodoma mara nyingi? Kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa kwamba siyo yeye (by simple logics, we can therefore exclude him). Na kadiri ya maelezo ya Tujisenti, hao watu wamekuwa na uhusiano toka mhusika akiwa PM. Lakini kama tunavyokumbuka, mzee Malecela alikuwa PM siku nyingi na kwa hiyo sina hakika kama hawa watu wanaweza kuwa na uhusiano muda wote huo tusijue. Kwa maana hiyo ni EL???

  Ila kama kweli ni EL basi atakuwa na LAANA! Ufisadi yeye na sasa ufirauni awe yeye?? Haiwezekani kabisa!!!:confused:
   
 10. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Kama kuna ukweli ktk haya,basi inatisha!! aah, bora nisingesikia:confused:
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee kama uchambuzi wako uko sahihi, EL si binadamu wa kawaida, anapenda ufisadi, madaraka, usanii na hili la TIGOtena heheheeh safari yake ni ndefu...
   
 12. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #12
  Feb 10, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  BIAS ili mradi tu umseme EL, nyedo za Suma wazijua weye?
   
 13. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii habari inasikitisha! kama ni waziri mkuu wa zamani anayekuwepo Dodoma kwasasa basi ni EL na Mzee JSM na kwa vyovyote kwa umri na hali halisi ilivyo Mzee JSM anajiondoa anabaki EL na huyo mbunge wa Magharibi (Tabora,Shinyanga na Kigoma) mhh inanipa kigugumizi lakini nahisi wanamzungumzia mbunge kijana kutokana na mahusiano yake na EL.

  Nafikiri taarifa hii imelenga katika kumchafulia jina EL pamoja na huyo mbunge,kama anayezungumziwa katika hilo gazeti ni EL.

  BTW,hilo gazeti la sema usikike ni kama yale ya Eric Shigongo? mbona kama limekaa kidaku sana?
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unataka mtaja Mh Peter Serukamba??
   
  Last edited: Feb 10, 2009
 15. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika kama huyo ndiye niliyetaka kumtaja mkuu Masanilo.Anaweza kuwa huyo pia
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimepata fikra mbadala hapa!! Kwanini huyo mbunge asije kuwa amemuweka huyo Waziri mkuu wa zamani Kimada? Umejuaje kama huyu waziri Mkuu wa zamani hana mambo ya Elton John! Both scenario can work....
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh!
  Kwa hivyo jibaba linamsukuma tope jibaba mwenzake...
  Hivi nasikia Mataka na Shigongo ni miongoni mwa wanyama wakali wanaopenda mbolea aina ya samadimtu....
  Sasa huyu mbunge anapopitia muswada dhidi ya ushoga huwa anakuwa ktk fikra zipi???

  Siku hizi urijali wa mtu ni siri yake maana hata waliooa nao wanavunjiwa yai siku hizi...
   
 18. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mara nyingi anayependa kula tigo za kiume naye huwa analiwa tigo ,kwahiyo kuna uwezekana wao wakuu wanalana tigo kisela
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D:D: yaleeee ya " Ze utamu, wa kujing'ata ulimi"
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kulaneni tigo mbele kwa mbele na mimavi bwiiiiiiii. Hivi huko kwenye mavi kuna raha gani??? Au joto lake ni kali?? Siwezi kufikiria binafsi kumla mwanamke au mwanaume tigo. Naona kinyaa. Sex ni tendo la usafi na tamu jamani. Sasa inakuwaje unakubali kupindwa mgogo mwanaume mzima mwanaume mwenzio anakukamulia??? Nasema hata kama ni mwanamke siingizi nanihii yangu huko kuchafu. Acheni mambo ya Elton John jamani. Halafu mnaanza kuachia mishuzi /mavijambo hovyo na kuanza kuvaa nepi kuzuia mimaji yanayotoka huko kwenye nyumba ya mavi.

  Halafu hawa wazee wetu wanatumia Viagra au nini?? Kama ni kweli hii ni aibu.
   
Loading...