Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Monday, July 1, 2013 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Upenja, jimbo la Kitope. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuendeleza mfululizo wa ziara zake za nje ya nchini kwa sababu ziletea tija na neema kwa Taifa la Tanzaniatangu aingie madarakani mwaka 2005 na kuwa ni miongoni mwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
"Kwakweli wanaokiua chama chetu wapo humuhumu" Ni maneno ya Mbunge wa CCM (Mjumbe wa kamati ya Maliasili) juu ya Mkuu wa wilaya ya Uyui na Mbunge wa Viti maalumu(CCM) kwa mambo machafu anayofanya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, WILFRED LWAKATARE amesema kuwa siasa za chuki na majungu ndani ya chama hicho zimetawala hali inayokwamisha harakati mbalimbali za kisiasa za chama...
0 Reactions
152 Replies
14K Views
By Dave Boyer - The Washington Times Sunday, June 30, 2013 President Obama pledged $7 billion in aid Sunday to provide electricity to sub-Saharan Africa, as he warned Africans to be wary of...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Mengi yameanza kujulikana baada ya shuhuda aliyemuona mtu aliyerusha bomu kusimulia, akishuhudia chini ya kiapo mbele ya wakili anasema: "Nilikuwa nimesimama pembeni mwa gari la hotuba majira ya...
37 Reactions
304 Replies
24K Views
Naona wamerekani wanahaha na Obama wao hapa Tz. Ulinzi mkali mpaka wanapanda na viatu juu ya Ikulu yetu. Wanasafirisha mpaka helcopter, magari, wapishi wao. Watz wameacha kazi kisa kumshangaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwendesha mashitaka ni mshitakiwa Mwaka 1984, mkoani Dodoma ndani ya ukumbi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulikuwepo kesi kubwa. Kesi ya kiongozi wa juu wa serikali ya Zanzibar. Alishitakiwa kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zikiwa zimebaki takribani saa kazaa tu kuwasili kwa kiongozi wa taifa la Marekani bwana Barack Obama, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amesema kuandamana na kubeba mabango ni ushamba. ameyasema...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nikiwa nafuatilia kwa karibu ujio wa kiongozi wa dola kuu duniani ie USA nimeona nitafakari naji wana jamvi kwa ufupi uhusiano wa demokrasia na matumizi ya rasilimali zetu kwa maendeleo ya watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi, Usalama wa Taifa, Benki Kuu, vyama vya siasa na Uhamiaji ni miongoni mwa mambo yapendekezwa kuondolewa katika Rasimu ya Katiba mpya. Mapendekezo hayo yamo katika kijitabu cha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua anayetakiwa kutukuzwa na kuogopwa ni Mungu pekee.. Leo watanzania wanahangaika ndani ya nchi yao,wafanya biashara wadogo wametimuliwa mjini eti wanachafua mji., leo barabara zinamwagiwa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Wabunge wanne wa Chadema, ambao waliachiwa na polisi kwa dhamana wamesimulia mateso waliyoyapata wakiwa rumande baada ya kukamatwa juzi. Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu akiwaonyesha...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wana jf, bunge refu la siku 78 la bajeti 2013 ndio linaisha leo. watafiti wa mambo ya kisiasa, kibunge na kiuchumi wanasema kuwa CHADEMA bungeni mwaka huu imepwaya, imechechemea na imepoteza dira...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
US President Barack Obama has called on African governments to give gay people equal rights by decriminalising homosexual acts. Mr Obama made the comments in Senegal after meeting...
2 Reactions
134 Replies
12K Views
  • Closed
Ni kweli wakati rais Obama na mkewe wakiingia geti la Ikulu huku wenyeji wao rais Kikwete na mkewe Mama Salama wakionekana kuwa na Furaha isiyo na kifani watu waliokuwa wamejipanga Pembezoni mwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili: 1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana. 2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna maandamano makubwa sana yanaendelea sasa hivi nchini misri kati ya wale wanaompiga rais wa nchi hiyo ya kumtaka ajiuzulu na yale ya wanaomuunga mkono. Taarifa za habari za mashirika makubwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimatumaini yangu kwamba baadae hivi leo watanzania watapata fursa yakumuuliza Presda Obama maswali mawili matatu kama ambavyo watu wa S.A walivyopata fursa hiyo juzi jmosi.Natumai kwa Tanzania...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Natamani watuambie wametumia sh kwenye ziara ya obama kuanzia ulinzi, matangazo, usafi na makolokolo yote maana mpaka dakika hii sijajua hyo pesa imetoka kwenye fungu lipi na ilipitishwa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom