Salama ya tanzania hii hapa

Salama ya tanzania hii hapa

kichangaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
689
Reaction score
131
nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi. CHADEMA ni chama kikubwa sana sasa hivi pengine kuliko CCM. CCM wanaujua lakini hawataki kuukubali ukweli huu.wanawaona viongozi na wanacdm ni maadui wakubwa wa Watanzania.!

Viongozi wa
CHADEMA wana kesi kila kona ya nchi.wana-CHADEMA wanauawa kwa mabomu na risasi za moto kwenye mikusanyiko yao.

NAWASIHI CCM WATUMIE BUSARA KIDOGO.NCHI HII NI YA WANACCM NA WANACHADEMA KWA PAMOJA.CCM WAKUBALI CHADEMA NI CHAMA KIKUBWA KWA SASA.KILA MBINU HARAMU YA KUKISAMBARATISHA INAWAPAISHA ZAIDI.

NAWASIHI CCM WASHIRIKIANE NA CDM KULIJENGA TAIFA HILI KIUCHUMI NA USTAWI WA KIJAMII.KWA HALI ILIVYO SASA HIVI NCHI INAANGAMIA.TANZANIA KWA SASA NI FERTILE GROUND KWA WAHUJUMU UCHUMI WA KILA AINAWA NJE NA NDANI NA MAADUI WA TAIFA HILI.CCM IMETAWALA KWA NUSU KARNE. MKIPUMZIKA SASA NA KUJIPANGA UPYA KUNA UBAYA GANI??

NAWAKILISHA!!
 
nchi yetu inapitia katika kipindi kigumu sana sasa hivi.chadema ni chama kikubwa sana sasa hivi pengine kuliko ccm.ccm wanaujua lakini hawataki kuukubali ukweli huu.wanawaona viongozi na wanacdm ni maadui wakubwa wa watanzania.!viongozi wa cdm wana kesi kila kona ya nchi.wanacdm wanauawa kwa mabomu na risasi za moto kwenye mikusanyiko yao.NAWASIHI CCM WATUMIE BUSARA KIDOGO.NCHI HII NI YA WANACCM NA WANACHADEMA KWA PAMOJA.CCM WAKUBALI CHADEMA NI CHAMA KIKUBWA KWA SASA.KILA MBINU HARAMU YA KUKISAMBARATISHA INAWAPAISHA ZAIDI.NAWASIHI CCM WASHIRIKIANE NA CDM KULIJENGA TAIFA HILI KIUCHUMI NA USTAWI WA KIJAMII.KWA HALI ILIVYO SASA HIVI NCHI INAANGAMIA.TANZANIA KWA SASA NI FERTILE GROUND KWA WAHUJUMU UCHUMI WA KILA AINAWA NJE NA NDANI NA MAADUI WA TAIFA HILI.CCM IMETAWALA KWA NUSU KARNE. MKIPUMZIKA SASA NA KUJIPANGA UPYA KUNA UBAYA GANI??

NAWAKILISHA!!

Wameshasema wawatumia kila mbinu kushinda alafu wewe unawashauri wapumzike tena!!! Sidhani kama ushauri wako ni sahihi kwao.
 
Back
Top Bottom