Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kablaya uchaguzi wa 2010 CHADEMA kilikua maarufu sana na wabunge wake walikua makini mno bungeni lakini baada ya uchaguzi ambapo walipata wabunge wengi wakaanza visa moja tusisikilize hotuba ya...
5 Reactions
102 Replies
8K Views
Serikali katika weledi wake iliweka mkazo maalumu kwenye suala la usalama wa raia na taifa kwa ujumla. Tangu awali hadi sasa tuna vyuo vya taaluma ya usalama kwa kila jeshi ambali limeanzishwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
DR.LUCAS WEBIRO:- AWAPA SOMO LA DEMOKRASIA WANAHABARI LEO Ndugu zangu wanahabari siasa si uadui bali hoja na sera kinachotokea hapa kwetu ni uadui mimi sijui huu mzimu unatoka wapi?.Na kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wengi tunafahamu kuwa mara baada ya uchaguzi mkuu 2010 wabunge wengi vijana kupitia chama mahiri Tz CHADEMA kiliingiza vijana wengi wenye akili, mitazamo na uwezo wa kufikiri, ambao wameweza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi kinachoendelea sasahivi arusha ni ukatili kwa vijana na wala wote wanao julikana ni wasaidizi wa lema na wanao kiunga mkono chama cha chadema. katika hili mkuu wa mkoa wa arusha na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
CCM wamekuwa na tabia ya kupenda kusifiwa na wasiposifiwa wanajisifu wenyewe na hili hulifanya kwa kutumia njia mbali mbali kama radio, TV na hata bunge. Neno zuri na tamu ambalo wabunge wa CCM...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna habari za kila aina ya hila zinazolenga ima kuvuruga au kukwamisha Uchaguzi wa Arusha (uchaguzi wa Madiwani wa Kata nne) uliopangwa kufanyika tarehe 14/7/2013. Habari hizi,pamoja na kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sasa ni wazi kuwa CCM kwa kushirikiana na serikali na vyombo vya dola wamepanga kuhakikisha uchaguzi wa Arusha uliopangwa kufanyika 14/July/2013 unavurugwa na kuhairishwa kwa muda mrefu. Mpaka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanaJF kwa habari zilizopatikana muda huu ni kwamba askari wa upelelezi wa Marekani FBI wamewasili Arusha kwa ajili ya kutafuta ukweli wa bomu lililorushwa kwenye mkutano wa kampeni wa...
14 Reactions
161 Replies
13K Views
CCM OYEEEEE! Ninaomba kuaminishwa na wanaJF wote na hasa vijana wa CCM waliomwagika hivi karibuni ndani ya JF kuhusu kuwa hawajui sababu zinazofanya chama chao kuchukiwa na wananchi kiasi cha...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Kufuatia Mh.Mbowe kusema kuwa ana ushahidi wa kutosha juu ya waliolipua mkutano wa CHADEMA Arusha,Jeshi la polisi lilisema litamfikisha mahakamani kutoa ushahidi wake kwa kuwa mtu anapokua na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2001 kiongozi mkongwe na msomi kutoka Zanzibar Mh Dr Omar Ally Juma aliaga dunia akiwa kama Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali ni je...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Namwona Mwigulu akipita kwenye vyombo vya habari na kujaribu kujenga hoja kwamba kuna maadui wanaitakia laana nchi hii. Dhana kuu ni kwamba wageni wanaleta chokochoko za kupiganisha wananchi tangu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za kuaminika zinasema kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameingiza nchini makontena Nguo-Gwanda, T-Shirts, Kofia, Kadi, Bendera za CHADEMA nk kutoka nchini China. Mavazi sambamba na kadi...
10 Reactions
93 Replies
7K Views
WanaJF, kile kikao ambacho kilikuwa kifanyike jana mchana Arusha kati ya mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na vyama kuhusu marudio ya uchaguzi wa udiwani Arusha tayari? Nini maazimio? Suala la ccm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu: mkutano na Ma-CEO wa kimarekani ndo unaonyesha taswira 'sahihi' ya hii ziara. Kwa upande wa pili, kwenye press briefing nilitegemea maswali yenye tija kutoka kwa waadhishi wetu lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila mahali chadema wanalaumiwa hivyo wanapaswa kuona wanapokosea na kujirwkwbisha
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Tanzania hivi sasa kuna zaidi ya magazeti 200, vituo vya TV, vituo vya REDIO na mitandao ya kijamii. Jambo la ajabu ni kwamba ni gazeti moja tu (TANZANIA DAIMA) pekee wamekuja na propaganda ya...
1 Reactions
136 Replies
9K Views
Hivi ni vijembe vyake mzee huyu akiongea TBC1 asubuhi hii kutoa tathmini ya jinsi watanzania hususani wans Dar walivyofanikisha ziara ,ya Obama. Amesifia wingi na utulivu wa vijana...
0 Reactions
90 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Katika saa 20 na zaidi Rais Obama alipokuwa katika ardhi ya Tanzania, sikusikia mahali popote akitamka jina la chama chake cha Democrat. Obama ametamka ' AMERICA!' mara...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Back
Top Bottom