keteka
Senior Member
- May 12, 2013
- 149
- 52
DR.LUCAS WEBIRO:- AWAPA SOMO LA DEMOKRASIA WANAHABARI LEO
Ndugu zangu wanahabari siasa si uadui bali hoja na sera kinachotokea hapa kwetu ni uadui mimi sijui huu mzimu unatoka wapi?.Na kama demokrasia ni kujaza orodha ya kuwa na vyama vya upinzani katika chaguzi zetu bila kuheshimu uhuru wa vyama hivyo bado tuna hitaji kuelimishwa bila kujua tunaweka maji kwenye ngunia hatutafikia tunakotarajia hata kidogo.
Demokrasia sio kushinda uchaguzi bila kuwaheshimu wapinzani hoja na sera zao hata kidogo sio sahihi kuwa chaguzi nyingi zimejaa fitina, kutishiana, kutekwa, kupingwa raia bila makosa hii ni aibu sana hii inaonyesha wazi watu hawasikilizwi kabisa na hawana uhuru wa kujieleza katika nchi yao.
Dr. Lucas Webiro akiwa nyumbani kwake ameomba kama hawataki Demokrasia ya vyama vyingi basi wabakize chama kimoja ili wengine twende tukalime mashambani tuachane na siasa za namna hii kweli ni aibu sana kujisifu juu ya demokrasia wakati watu hawaoni hiyo demokrasia nchini.
Watanzania tumejazwa uoga tunafikiria haya ndio matunda ya Demokrasia yenye Amani jamaani hiki hakikubaliki Duniani pote kuwajaza watu uoga na hofu tusijetukajidangaye kuwa tuna amani yenye demokrasia ya kweli.