Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wawekezaji waitafuna nchi • Bunge layeyusha ripoti ya ufisadi huo na Edson Kamukara Tanzania Daima SERIKALI bado inaendelea kupoteza mapato makubwa kutokana na misamaha ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://youtu.be/ygWOAySerjU
0 Reactions
6 Replies
1K Views
DEMOCRACY it's all about how you treat dissenting voices and oppositions kama mnataka aimbe kwa kutaja majambazi hana muda wa kusema maneno mengi, obama ana sifa ya kutumia maneno machache sana...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kupitia Tanzania strategic cities project miji ya Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga imependeza jamani tuache unafiki na watu wa Mbeya na Arusha hata bajeti ya kununua kiwi imepungua.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Obama: Uwazi wa Mikataba, Lumumba Hatimaye Barack Obama, Rais wa Marekani anatembelea tena bara la Afrika. Hii itakuwa ni mara ya pili Obama kutembelea Bara hili alikotoka baba yake baada ya...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Unaweza kuona hali ilivyo kule Egypt. umma umeamua kumpa red card President Morsi Just one year tokea alipokalia ikulu. Na jeshi nalo likasema yes, Umma usikilizwe - Mr.President akae pembeni...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa,tena sana umepita tangu maagizo mawili tofauti yatolewe na mawaziri wa wizara mbili tofauti kama ifuatavyo; {1} wakati mhe Joel Bendera akiwa naibu waziri wa utamaduni na...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
CDM ni chama chenye watu makini, nategemea kitamsimamisha mtu makini 2015 katika kiti cha Urais. Dr Kitila ni miongoni mwa watu wenye hadhi na heshima kwa jamii, lakini anatakiwa kupitishwa mapema...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa gazeti la washington post pamoja na blog yake ni kuwa serikali ya Tanzania imelipa deni alilokuwa anadaiwa afisa ubalozi wa Tanzania Bw.Mzengi ambaye alihukumiwa na mahakama huko...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
WEDNESDAY, JULY 03, 2013 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (Kulia) akishuhudia Balozi wa China hapa nchini Balozi Lu Youging akiweka sahihi katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa ktk kampeni hizi za udiwani jijini mbeya ulohitimishwa kwa CCM kupigwa chini,mgombea wa ccm alikutana na maswali haya yafuatayo 1.Hatujawahi kukuona msibani hata mara moja,na huwa hukai...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kulikuwa na mgomo wa Madaktari uliokuwa ukiongozwa na Jumuiya ya Madaktari nchini chini ya Uenyekiti wa Dr.Stephen Ulimboka. Madaktari wetu walikuwa na maombi mbalimbali kwa Serikali juu ya...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
KUTOKANA NA HALI YA KISIASA ILIYOPO KATIKA NCHI YETU YA TANZANIA IMENIBIDI KUCHUKUA UAMUZI WA KUELEZA MAWAZO YANGU KWA WATANZANIA WENZANGU AMBAO NDIO WAATHIRIKA AU WAHANGA AU WASHABIKI WAKUBWA WA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
NCHI ZILIZORUHUSIWA KUSHIRIKI KWA KUULIZA MASWALI REMOTELY NI NIGERIA, KENYA NA UGANDA, NAHISI VIJANA WA TANZANIA WALITUPIGA CHINI KWA SABABU LUGHA INATUBANA.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika ugeni wa juz na jana alikuwepo pia rais mstaafu wa usa bwana Bush, cha kushangaza ratiba ya alipotembelea haikuwekwa wazi na wala watu aliokutana nao hawakutangazwa. Inasemekana kuna muda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
NEC ya ccm, policeccm, madam speaker, bunge pamoja na wale wakuu wamikoa viherehere inabidi wapate/wapewe hii lecture, constantly, at least for a week, alafu baada ya lecture wapigwa examination...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Msanii maarufu wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la qwiki raka amesema CHADEMA ni chama makini sana. Msanii huyo amesema hayo maneno wakati akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha SIZ KITAA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama ilivyo desturi yetu, tunakuwa na moto na kitu kilichopo kwa wakati huo. Ujio wa Obama ulitufanya tukasahau mambo mengi lakini bado yana umuhimu mkubwa. Kabla Obama hajafika tulikuwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
MKUU wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Paul Chagonja, ni mweledi wa kuzungumza hasa pale ambapo watendaji wake (polisi), wanapokuwa wanatuhumiwa kwa makosa ya wazi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni zile halmashauri za wilaya mpya zilizotangazwa mwaka jana,zitaanzwa kujengwa 2016,kutokana na ukata wa fedha kwa serikali ya JMT. Serikali haikuwa imejiandaa(kifedha) wakati inatangaza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom