Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dear Brothers and Sisters, Ladies and Gentlemen, Friends and Our Enemies, Without a further a do INATOKA AU HAITOKI?? I want to point out first that i am very happy to see that our country...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ujenzi wa barabara ya Old Bagamoyo road ulipaswa kukamilika tar 31 May 2013. Hadi leo barabara inasusua na hakuna dalili za kukamilika hivi karibuni na hata kasi ya ujenzi ni ndogo tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha onayoonesha mchoro wa jengo Na Belinda Kweka- MAELEZO CHUO Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili(MUHAS) kipo katika mpango wa kujenga chuo kipya kwa ajili ya ufanyaji mazoezi kwa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
'You can fool some of the people some times but you can not fool all the people all the time'. About two weeks ago CHADEMA UK drafted and distributed letters to various national and international...
19 Reactions
36 Replies
4K Views
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Ikumbukwe kuwa viongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA kwa mara ya kwanza walifika wilayani Rorya katika Operation Sangara mwaka 2008 nami nikiwa mmoja kati ya wana Rorya waliojiunga na CHADEMA katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa upande mmoja waTZ tumefurahia sana ujio wa Rais mkubwa duniani ndugu, Obama na kuwa moja kati ya mataifa yaling’ala sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kote duniani. Lakini kwa wale ambao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF?Katika miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kasi ya mahusiano kati ya nchi yetu na mataifa makubwa duniani ikiongezeka sana.Tumeshuhuhudia uwekezaji unaofanywa na wageni hao ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
na George Maziku KUIMARIKA kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kunazidi kuwachanganya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaotumia mbinu mbalimbali kukidhoofisha. Tanzania Daima...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Taarifa ambazo nimezipata jioni ya leo na za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Damiani Lubuva yuko Jijini Arusha na maafisa kadhaa wa Tume hiyo kwa ajili ya...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Katika saa 20 na zaidi Rais Obama alipokuwa katika ardhi ya Tanzania, sikusikia mahali popote akitamka jina la chama chake cha Democrat. Obama ametamka ' AMERICA!' mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa mujibu wa Obama wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusian na hali ilivyo nchini Misri alisema " Democracy is not about winning election alone, it's all about how you treat...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni viongozi wa serikali,ccm na vyombo vyake vya ulinzi wamekuwa na tabia moja ya ajabu sana.Wanajaribu kupindisha ukweli kuwa uwongo.Mtu amepigwa risasi unaambia kagongwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata haya mabandiko kutoka kwenye vyanzo tofauti na kuona ni vizuri kushare na wanajamvi. Tafakarini tafadhali! Hebu fikiria fikra hizi bora "Ni jambo la kijinga kuchagua fedha kuwa ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Salaam zangu zikufikie Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Nape Nnauye. Salamu hizi zinaambatana na pongezi za dhati kwa ukimya wako uliosaidia kuwepo kwa utulivu katika chaguzi za ndani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari JF, Obama alipoulizwa swali kwa nini hakwenda Kenya alisema kwa sababu viongozi wa nchi hiyo wa juu wanashitakiwa kwenye mahakama ya kihalifu. Na kosa lao kubwa ni mauaji yaliyotokea hapo...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Mwenzenu nasikitishwa na tume hii ya katiba inayoongozwa na mzee wetu walioba kukusanya maoni kwa watanzania juu ya katiba mpya huku watanzania wengi wakiwa hawaijui hata ya zamani inasemaje? kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF! Jambo ambalo bado najaribu kutaka kulielewa ila naona nashindwa ni huu utaratibu wa serikali kutafuta watu kutoka ulaya, mashariki ya mbali, kati na amerika kuja kutusaidia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimetumiwa sms sasa hivi na mtu aliyepo Njombe kuwa katika uchaguzi wa vitongoji wilaya ya Makete CCM imeambulia kitongoji 1 na CHADEMA 46, ninaendelea kufuatilia uhakika wa habari hii na pia wale...
10 Reactions
50 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Muungano wa Nchi mbili ukizaa Serikali Mbili haujawa Muungano. Muungano wa Nchi MBILI huzaa nchi MOJA. Ukishindwa hilo, basi, utazaa nchi TATU. Na hapo, Nchi Mbili zitakuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom