PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Wanajamvi kinachoendelea sasahivi arusha ni ukatili kwa vijana na wala wote wanao julikana ni wasaidizi wa lema na wanao kiunga mkono chama cha chadema.
katika hili mkuu wa mkoa wa arusha na makachero wa polisi kitengo maalum
vijana wanakamatwa hovyo viongozi wa chadema wanashikiliwa hovyo kwa siku kadhaa bila kfikishwa polisi wala mahakamani kunasehemu maalm wanapelekwa.
magari na pikipiki zilizowekwa nembo za zinakamatwa hovyo bila makosa.
wafanya biashara wanaoisapot chadema wanafatiliwa hovyo na kutishiwa salama wa biashara zao.
vijana wanatishiwa kila siku hasa waendesha bodaboda.
húu ni unyanyasaji unaofavywa kwa sasa,nakwa stail ya aina yake.
tunawaomba viongozi wa chadema kanda ya kaskazini kulitolea hili sala mwongozo.