Haya ni baadhi tu ya mafaniko ya CHADEMA ambayo watanzania wengi watajuvunia tokea kipindi cha Kuanzishwa kwa Vyama Vingi vya Siasa.
Ni mafanikio ambayo hayawezi kupingwa na Mtanzania yeyote...
Kukubali ongezeko la 18% VAT katika tourism ni pigo kwa ajira za vijana, bidhaa za vegetable/mboga na local investors.
Nashangaa sana kwanini serikali inashindwa kukusanya kodi katika sekta ya...
Katika siku za karibuni na kila tunapojongea kuelekea 2015, ndugu yetu Edward Lowassa, Mbunge, Mjumbe wa NEC sasa hivi ni kama Waziri Mkuu asiye na wizara maalum.
Lowassa is every where...
DR.LUCAS WEBIRO WA CHADEMA:-AELEZA MBINU ZA KUONDOA UMASIKINI WILAYA YA BUNDA.
Jambo la msingi ni kuleta mfumo mpya wa kuimalisha makazi na elimu kwa watu wa Bunda,kumuwezesha kila mwanabunda...
The main entrance to the old De Beers Mwadui mine in Shinyanga, Tanzania, (now owned by Petra Diamonds Ltd)
SERIKALI bado inaendelea kupoteza mapato makubwa kutokana na misamaha ya kodi...
Viongozi wawili vinara ktk mbio za urais kupitia CCM hakuna shaka kuwa ni Lowassa na Membe. Lakini leo nataka kuwachambua viongozi hao nakuonyesha kwanmba kwangu mimi hawafai kabisa kuwa katika...
*Wataalamu kutoka China watua kuchunguza
*Polisi watamba kufichua siri ya milipuko yote
TAARIFA za awali kutoka kwa makachero wa Jeshi la Polisi nchini zimefanikiwa kubaini mtandao wa ulipuaji...
Kwa mtazamo wa kizamani, polisi na usalama wa taifa ndio wataalam waliobobea katika kuunganisha dots na kupata mtililiko halisi wa matukio hata yaliyo fichika kabisa. Kwa siku za karibuni mambo...
Katika kumuenzi rais wa Marekani barabara ya Ocean (Ocean Road) itazinduliwa upya na Barack Obama na itaitwa Barack Obama road
- The curving stretch of road along the Indian Ocean behind the...
Nikiwa kama mkeretwa mkubwa wa CHADEMA na adui namba moja wa CCM napendekeza Mh Mbowe na Mh Zitto wang'oke katika nyadhifa wanazozishikiria na kuwaachia wengine wengine wenye mapenzi ya dhati kwa...
Naomba anayefahamu jina na nchi anakotokea kiongozi aliyewahi kufanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili... (Nahisi kama ni kutoka nchi za amerika kusini but sina uhakika wala details).. Anayemfahamu...
Kwa kipindi sasa tunaona hawa watu wawili wakitenda kazi kama vile wamegawana majukumu! Wakati rais wetu Jakaya akiwa busy na safari za nje, Lowassa naye (ambaye sijui ni nani mbali na ubunge)...
Karibuni nchi yetu imepokea ugeni kutoka katika mataifa mbalimbali makubwa duniani. Ulianza ugeni wa China na kisha Marekani lakini pia tulikuwa wageni kwenye Taifa kubwa kiuchumi la Japan katika...
Ndugu wana jamii forum habari nlizonazo na za kuaminika ni kuwa baraza la katiba Halmashari ya Moshi linaanza kukutana rasmi tarehe 20 mpaka 22 mwezi huu wa July 2013 katika ukumbi wa Umoja...
Nimekuwa nikijaribu kutafakari mara kadha wa kadha juu ya misimamo ya wabunge walio wengi bungeni( ambao chama chao kunatawala), kwamba hivi ni kweli zile ndiooooo wanazozitoa kwenye kila jambo...
Picha (kumbukumbu, Septemba 2, 2012) iliyochukuliwa katika mkutano kwenye ofisi ya CHADEMA, Nyololo, Iringa siku ambapo Daudi Mwangosi alifariki dunia kwa kulipuliwa na bomu.
MAHAKAMA ya Wilaya...
nimefanya utafiti usio rasmi kwa siku nyingi kabla ya kuwa member wa JF na nimegundua yafutayo:
Wemgi wanaangalia maslahi ya Vyama vyao na sio tz yao (angalia mabishano ya CHADEMA VS CCM humu...
Tuko kwenye msafara kuelekea sokoni I kwenda kumpumzisha ndugu, mpendwa wetu Judy William,nitawaletea kitakachokuwa kinajili.
.
Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I...
Hapa Barani Afrika hivi karibuni tumeshuhudia Wananchi wa nchi mbali wakifanya Mabadiliko ya Uongozi, wengine kwa njia ya Amani kama Zambia na wengine Mapinduzi ya nguvu ya Umma kama Misri...
Leo sita kua nime tenda mema kama sita waambia vijana wenzangu ukweli hasa wale ambao wana tumika na bahazi ya wana siasa kama mataili ya gari pale yanapo choka wana ya acha na mwisho maisha yana...