CHADEMA wako tofauti?

CHADEMA wako tofauti?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
11,008
Reaction score
19,143
Hapa Barani Afrika hivi karibuni tumeshuhudia Wananchi wa nchi mbali wakifanya Mabadiliko ya Uongozi, wengine kwa njia ya Amani kama Zambia na wengine Mapinduzi ya nguvu ya Umma kama Misri, Tunisia, Libya n.k

Lakini inavyooneka Wananchi wa nchi hizo hawajapata kile walichokuwa wanakitegemea kwa maana nyingine walichobadilisha kimekuwa kibaya zaidi kuliko kile walichokitoa, na sasa wengi wao wanajuta kwani Amani ktk Nchi hizo imetoweka kabisa, swali langu hapa Nyumbani Je, CHADEMA wana utofauti gani na hao wengine, hasa pale wanapojaribu kutuaminisha kila siku kwamba CCM ndiyo tatizo TZ na wao ndio suluhisho, Je kwa nini tuwaamini?
Je tuwaamini tu kwa sababu wanasema wao ni Bora? Kuna nini au lipi wamefanya ktk ngazi yoyote ile kudhihirisha kwamba wao no bora kuliko CCM, au kwamba wao wakiwa Madarakani watakuwa Bora zaidi?
 
Frustration haina wakati wa kufikiri la baadae. Lakini nakubaliana nawe kuwa bado hatujapata mfano sahihi wa tunachokitafuta!
 
Wana uwezo wa kukosoa utendaji ... Yes, mean utendaji kwa kuwa sera ni wachovu kama walioko madarakani. Pili wanauwezo wa kuimba nyimbo nzuri wanazopenda kusikia walala hoi... E.g. Kama uko fully engaged kazini waweza je kudhuria maandamano.
CDM ni wanaharakati wazuri sana... Zaidi ya hapo tunaota tu!

WaTanzania wa2 waajabu sana kuna wakati walikuwa wampe nchi Mrema si kwa sababu anaweza only b'se alikuwa na uwezo wa kukosoa.

Wakampa JK si kwa sababu anajua uongozi bali kwa kuwa ni mtu wa watu... Ati anajochanganya, anajali...

Juzi juzi wakataka kumpa Dr. Slaa sio kwa kuwa ana record yoyote ya uongozi other than wa Kiroho bali kwa kuwa alikuwa Bingwa na Mtunzi wa single ya Ufisadi...

Guys that itself doesn't make you to be a good leader, Kamuulizeni Mohammad Morsi kwamba lile taifa la asali la Misri aliloahidi liko wapi?

Naomba kulinganisha mkosoaji kama Auditor (mkaguzi), not every good auditor is good manager or leader...! In fact many auditors are very poor in management and leadership... I said many not all!

Usidhani Utoh the current CAG kwamba automatic can good minister for finance....

Nawaasa WaTanzania tunapotakuchagua kiongozi wa Taifa tuangalie zaidi quality za management and leadership... Nitoe mfano Kidogo....
Kitila Mkumbo was tested as good leader, kipindi chake pale DARUSO ali-achieve mambo mengi bila wanafunzi kupigwa virungu na maandamano yasiokuwa na maana.
Lowassa pamoja na uzandiki wa waTanzania he has left a leadership mark in any institution he lead. AICC, Ardhi(re-claimed viwanja vya Mnazi mmoja), Maji (Mradi wa maji Chalinze, Ziwa Victoria), PM (Shule za Kata).... List is endless.
 
Kuna nini au lipi wamefanya ktk ngazi yoyote ile kudhihirisha kwamba wao no bora kuliko CCM[/B][/COLOR], au kwamba wao wakiwa Madarakani watakuwa Bora zaidi?[/SIZE][/QUOTE]

Kwanza lipo jambo lililowazi sana katika hoja yako....umechagua maelezo yanayokwepa mafanikio ya mabadiilo haujataja Africa ya Kusini baada ya fujo hadi Mandela kutoka gerezani....je kuna tofauti? Haujataja mabadiilo ya kiuongozi Ghana na mafanikio yake ... haujataja Mabadiliko Kenya .... nk.

Kwa kukupa mifano tu .... Chama kilichopa madarakani Kenya kwa sasa hakijawahi kuwa hata na diwani kabla ya uchaguzi wa mwaka huu..... usichofahamu wewe ni Siasa, serikali siyo chama na chama hakiwezi kuwa serikali ila kinaomba ridhaa ya kuendesha serikali tu. Ndio maana inawezekana kuwa na mgombea huru hana haja ya kuwa na chama ilikuonyesha kimefanikiwaje

Na mwisho katika nchi hizo unazo seam zina fujo maudhui yake hazifanani na CDM....Misri, Tunisia, Libya kote huko wananchi waliamua yawepo mabadiliko lakini siyo chama kilichosajiliwa km CDM ambacho kinahamasisha mabadiliko ya kisheria.

Sijui kama umenielewa nimejaribu kujibu kifupi ila tatizo ulilonalo ni uelewa wa kisiasa tu ndio tatizo
 
Wana uwezo wa kukosoa utendaji ... Yes, mean utendaji kwa kuwa sera ni wachovu kama walioko madarakani. Pili wanauwezo wa kuimba nyimbo nzuri wanazopenda kusikia walala hoi... E.g. Kama uko fully engaged kazini waweza je kudhuria maandamano.
CDM ni wanaharakati wazuri sana... Zaidi ya hapo tunaota tu!

WaTanzania wa2 waajabu sana kuna wakati walikuwa wampe nchi Mrema si kwa sababu anaweza only b'se alikuwa na uwezo wa kukosoa.

Wakampa JK si kwa sababu anajua uongozi bali kwa kuwa ni mtu wa watu... Ati anajochanganya, anajali...

Juzi juzi wakataka kumpa Dr. Slaa sio kwa kuwa ana record yoyote ya uongozi other than wa Kiroho bali kwa kuwa alikuwa Bingwa na Mtunzi wa single ya Ufisadi...

Guys that itself doesn't make you to be a good leader, Kamuulizeni Mohammad Morsi kwamba lile taifa la asali la Misri aliloahidi liko wapi?

Naomba kulinganisha mkosoaji kama Auditor (mkaguzi), not every good auditor is good manager or leader...! In fact many auditors are very poor in management and leadership... I said many not all!

Usidhani Utoh the current CAG kwamba automatic can good minister for finance....

Nawaasa WaTanzania tunapotakuchagua kiongozi wa Taifa tuangalie zaidi quality za management and leadership... Nitoe mfano Kidogo....
Kitila Mkumbo was tested as good leader, kipindi chake pale DARUSO ali-achieve mambo mengi bila wanafunzi kupigwa virungu na maandamano yasiokuwa na maana.
Lowassa pamoja na uzandiki wa waTanzania he has left a leadership mark in any institution he lead. AICC, Ardhi(re-claimed viwanja vya Mnazi mmoja), Maji (Mradi wa maji Chalinze, Ziwa Victoria), PM (Shule za Kata).... List is endless.

Sijui kipimo chako cha uongozi kwa Dr. Slaa km ni sahihi alikuwa mbunge wa Karatu na mabadiliko yako wazi
 
Mkuu kwa mtu yoyte yule anayfkri vzur, hawez kata huu ukwel uloweka big up
 
Kuna nini au lipi wamefanya ktk ngazi yoyote ile kudhihirisha kwamba wao no bora kuliko CCM[/B][/COLOR], au kwamba wao wakiwa Madarakani watakuwa Bora zaidi?[/SIZE]

Kwanza lipo jambo lililowazi sana katika hoja yako....umechagua maelezo yanayokwepa mafanikio ya mabadiilo haujataja Africa ya Kusini baada ya fujo hadi Mandela kutoka gerezani....je kuna tofauti? Haujataja mabadiilo ya kiuongozi Ghana na mafanikio yake ... haujataja Mabadiliko Kenya .... nk.

Kwa kukupa mifano tu .... Chama kilichopa madarakani Kenya kwa sasa hakijawahi kuwa hata na diwani kabla ya uchaguzi wa mwaka huu..... usichofahamu wewe ni Siasa, serikali siyo chama na chama hakiwezi kuwa serikali ila kinaomba ridhaa ya kuendesha serikali tu. Ndio maana inawezekana kuwa na mgombea huru hana haja ya kuwa na chama ilikuonyesha kimefanikiwaje

Na mwisho katika nchi hizo unazo seam zina fujo maudhui yake hazifanani na CDM....Misri, Tunisia, Libya kote huko wananchi waliamua yawepo mabadiliko lakini siyo chama kilichosajiliwa km CDM ambacho kinahamasisha mabadiliko ya kisheria.

Sijui kama umenielewa nimejaribu kujibu kifupi ila tatizo ulilonalo ni uelewa wa kisiasa tu ndio tatizo[/QUOTE]

Sasa hapo umeamua kujifunga wewe mwenyewe umetolea mfano wa Afrika Kusini, umeshafika Afrika Kusini wewe sasa hivi? mimi nimefika na nina rafiki zangu Walimu Port Elisabeth na wengi wanasema hakuna jipya lolote ANC ililofanya kwanza wanasema ukiongea na walalahoi kabisa wanasema ni bora hata wakati wa Wazungu kwamba walikuwa wanabaguliwa lkn kulikuwa na kazi hata za kufua nguo kwa Wazungu na mshahara ulikuwa unatosha kula angalau mpaka mwisho wa mwezi huu ni Ushuhuda ukifika Afrika Kusini utaupata, waliyoahidi yote ANC ni Usanii mtupu, Black empowerment programm ya Mbeki ni ya wachache kwa kifupi hakuna Mafanikio yoyote Afrika Kusini.

Ni hivi juzi tu hapa Serikali ya ANC imetumia Jeshi lile lile la Kikaburu na mbinu zile zilezile za kikaburu kuuwa watu wale wale waliokuwa miaka yote wanauliwa na Makaburu, Hivyo Afrika kusini sio success story!

Unaongelea Kenya unadaganya wazi wazi, mabadiliko ya Kenya wala huwezi kuyaita mabadiliko pasee kwa maana Viongozi wote ambao wanaongoza Kenya sasa hivi ni wale wale waliokuwa Kanu au CCM ya Kenya, ni kama leo hii akina Bw.Lowasa wahame CCM waingie Upinzani halafu washinde uchaguzi, nafikiri hauelewi siasa za Kenya, nitajie mafaniko ya Kenya ukilinganisha na wanakotoka, usinitajie Katiba mpya, niambie mwananchi wa Kenya wa sasa hivi anatofauti gani na wakati wa Moi? Maisha yamebadilika kwa kiasi gani?

Kuhusu Ghana sielewi mambo yao zaidi ya kujua tu walikuwa wanatawaliwa kijeshi!

Kurudi kwenye Mada yangu ni kwamba, nataka Chadema waonyeshe walichofanya, na sio kuniambia kwamba kutaja orodha ya Mafisadi ndio kunatosha kusema kwamba wao ni bora kuliko CCM, waseme kwa mfano kuna Halmshauri wanaziongoza, Je wamefanikiwa kwa kiasi gani ukilinganisha na Halmashauri zinazoongozwa na CCM usinitajie Moshi mjini, Moshi iko jinsi ilivyo kabla hata upinzani haujazaliwa Tanzania, yaani mimi kama mwananchi nataka niseme Halmashauri fulani mambo yake mazuri ukilinganisha na Halmashauri yangu kwa sababu inaongozwa na Upinzani, hiyo ndio baadhi ya mifano ninayoitaka kuiona, na sio sijui Lowasa fisadi na blah blah

Sijui kipimo chako cha uongozi kwa Dr. Slaa km ni sahihi alikuwa mbunge wa Karatu na mabadiliko yako wazi
Ndugu, Kwa kuwa mbunge hupati full cycle ya ku-be tested a manager or leader... I could better heri Mayor wa Jiji au manispaaa... Mbunge ni mpaza sauti wa Sauti za Wananchi na ndio maana mmoja kule Mtwara aliamua kupaza hata sauti ambazo negative. Ili upimwe kua kiongozi kuwa leader au manager wa insitute/organization ambayo inatafuta hela kutoka vyanzo vyake and then inatumia. Unakuwa na team au watu inaowaongoza chini yako...and you are accountable to ensure they work for efficient and effectiveness of your organization etc....
Today tell mbunge ana wafanyazi wangapi chini yake anaowaongoza other than dereva wake sijui siku hizi nakatibu wake?
Kitila had baraza la mawaziri. Mzee Six alikuwa leader wa TIC.... Etc.... Dr. Slaa wapi alikuwa na opportunity ya Kuongoza kwenye serious/hard real organization? Sasa anajaribu haya Ukatibu mkuu wa chama unamshida... Na experience hizo za ku-lead political Posts JK alikuwa nazo lakini hazikusaidia hata kidogo kwa kuwa haziingizi kwenye tanuru la decision making pale ambapo maamuzi lazima yafanywe na u have make people below believe and follow.
 
Wana uwezo wa kukosoa utendaji ... Yes, mean utendaji kwa kuwa sera ni wachovu kama walioko madarakani. Pili wanauwezo wa kuimba nyimbo nzuri wanazopenda kusikia walala hoi... E.g. Kama uko fully engaged kazini waweza je kudhuria maandamano.
CDM ni wanaharakati wazuri sana... Zaidi ya hapo tunaota tu!

WaTanzania wa2 waajabu sana kuna wakati walikuwa wampe nchi Mrema si kwa sababu anaweza only b'se alikuwa na uwezo wa kukosoa.

Wakampa JK si kwa sababu anajua uongozi bali kwa kuwa ni mtu wa watu... Ati anajochanganya, anajali...

Juzi juzi wakataka kumpa Dr. Slaa sio kwa kuwa ana record yoyote ya uongozi other than wa Kiroho bali kwa kuwa alikuwa Bingwa na Mtunzi wa single ya Ufisadi...

Guys that itself doesn't make you to be a good leader, Kamuulizeni Mohammad Morsi kwamba lile taifa la asali la Misri aliloahidi liko wapi?

Naomba kulinganisha mkosoaji kama Auditor (mkaguzi), not every good auditor is good manager or leader...! In fact many auditors are very poor in management and leadership... I said many not all!

Usidhani Utoh the current CAG kwamba automatic can good minister for finance....

Nawaasa WaTanzania tunapotakuchagua kiongozi wa Taifa tuangalie zaidi quality za management and leadership... Nitoe mfano Kidogo....
Kitila Mkumbo was tested as good leader, kipindi chake pale DARUSO ali-achieve mambo mengi bila wanafunzi kupigwa virungu na maandamano yasiokuwa na maana.
Lowassa pamoja na uzandiki wa waTanzania he has left a leadership mark in any institution he lead. AICC, Ardhi(re-claimed viwanja vya Mnazi mmoja), Maji (Mradi wa maji Chalinze, Ziwa Victoria), PM (Shule za Kata).... List is endless.

Haijaingia akilini ngoja nireboot kwanza!
 
Wale waodhani waBunge ni viongozi wakubwa naomba wajue ya kwamba ki-halisia Mwenyekiti wa Halmashauri a.k.a Mayor plays big role ya uongozi na utawala far more/better than Mbunge per se. Yes wapo wabunge wana quality za uongozi but mostly not well tested in difficult environment... Wanamwanaume jasiri anajulikana sio wakati wa raha bali....

Mbunge ni Mwakilishi au Representative.... I think jina chro linaonyesha wazi kwamba they are only replicating, amplify what those who represent needs/desires etc.

So Mbunge kwangu not a key qualification to be given a country to lead. Na nirani zetu juzi wamechagua baraza la mawaziri kutoka viongozi wa taasisis na makampuni successfully people who has been under fire, scrutn for management of leadership kuna ma-CEO na viongozi wa taasisi za umma kibao. Sio pure waBunge etc.

TAWE WAKWELI KAZI YA MEYA WA KINONDONI NA YA MBUNGE IDD AZZAN ANA PLAY PART KUBWA YA MANAGEMENT NA LEADERSHIP?
 
Ndugu, Kwa kuwa mbunge hupati full cycle ya ku-be tested a manager or leader... I could better heri Mayor wa Jiji au manispaaa... Mbunge ni mpaza sauti wa Sauti za Wananchi na ndio maana mmoja kule Mtwara aliamua kupaza hata sauti ambazo negative. Ili upimwe kua kiongozi kuwa leader au manager wa insitute/organization ambayo inatafuta hela kutoka vyanzo vyake and then inatumia. Unakuwa na team au watu inaowaongoza chini yako...and you are accountable to ensure they work for efficient and effectiveness of your organization etc....
Today tell mbunge ana wafanyazi wangapi chini yake anaowaongoza other than dereva wake sijui siku hizi nakatibu wake?
Kitila had baraza la mawaziri. Mzee Six alikuwa leader wa TIC.... Etc.... Dr. Slaa wapi alikuwa na opportunity ya Kuongoza kwenye serious/hard real organization? Sasa anajaribu haya Ukatibu mkuu wa chama unamshida... Na experience hizo za ku-lead political Posts JK alikuwa nazo lakini hazikusaidia hata kidogo kwa kuwa haziingizi kwenye tanuru la decision making pale ambapo maamuzi lazima yafanywe na u have make people below believe and follow.

Km kweli unajua historia ya Dr. Slaa naamini ungeipata amekua na tija ndani ya siasa na hata nje ya siasa. Amekua na team ya watu anaowaongoza na tija ikawepo sina haja ya kusa mengi ila naona bado hauna muda wa kusoma kwa ufasaha na kujua ukamilifu wa uwezo wa mtu
 
Kwanza lipo jambo lililowazi sana katika hoja yako....umechagua maelezo yanayokwepa mafanikio ya mabadiilo haujataja Africa ya Kusini baada ya fujo hadi Mandela kutoka gerezani....je kuna tofauti? Haujataja mabadiilo ya kiuongozi Ghana na mafanikio yake ... haujataja Mabadiliko Kenya .... nk.

Kwa kukupa mifano tu .... Chama kilichorpa madarakani Kenya kwa sasa hakijawahi kuwa hata na diwani kabla ya uchaguzi wa mwaka huu..... usichofahamu wewe ni Siasa, serikali siyo chama na chama hakiwezi kuwa serikali ila kinaomba ridhaa ya kuendesha serikali tu. Ndio maana inawezekana kuwa na mgombea huru hana haja ya kuwa na chama ilikuonyesha kimefanikiwaje

Na mwisho katika nchi hizo unazo seam zina fujo maudhui yake hazifanani na CDM....Misri, Tunisia, Libya kote huko wananchi waliamua yawepo mabadiliko lakini siyo chama kilichosajiliwa km CDM ambacho kinahamasisha mabadiliko ya kisheria.

Sijui kama umenielewa nimejaribu kujibu kifupi ila tatizo ulilonalo ni uelewa wa kisiasa tu ndio tatizo

Sasa hapo umeamua kujifunga wewe mwenyewe umetolea mfano wa Afrika Kusini, umeshafika Afrika Kusini wewe sasa hivi? mimi nimefika na nina rafiki zangu Walimu Port Elisabeth na wengi wanasema hakuna jipya lolote ANC ililofanya kwanza wanasema ukiongea na walalahoi kabisa wanasema ni bora hata wakati wa Wazungu kwamba walikuwa wanabaguliwa lkn kulikuwa na kazi hata za kufua nguo kwa Wazungu na mshahara ulikuwa unatosha kula angalau mpaka mwisho wa mwezi huu ni Ushuhuda ukifika Afrika Kusini utaupata, waliyoahidi yote ANC ni Usanii mtupu, Black empowerment programm ya Mbeki ni ya wachache kwa kifupi hakuna Mafanikio yoyote Afrika Kusini.

Ni hivi juzi tu hapa Serikali ya ANC imetumia Jeshi lile lile la Kikaburu na mbinu zile zilezile za kikaburu kuuwa watu wale wale waliokuwa miaka yote wanauliwa na Makaburu, Hivyo Afrika kusini sio success story!

Unaongelea Kenya unadaganya wazi wazi, mabadiliko ya Kenya wala huwezi kuyaita mabadiliko pasee kwa maana Viongozi wote ambao wanaongoza Kenya sasa hivi ni wale wale waliokuwa Kanu au CCM ya Kenya, ni kama leo hii akina Bw.Lowasa wahame CCM waingie Upinzani halafu washinde uchaguzi, nafikiri hauelewi siasa za Kenya, nitajie mafaniko ya Kenya ukilinganisha na wanakotoka, usinitajie Katiba mpya, niambie mwananchi wa Kenya wa sasa hivi anatofauti gani na wakati wa Moi? Maisha yamebadilika kwa kiasi gani?

Kuhusu Ghana sielewi mambo yao zaidi ya kujua tu walikuwa wanatawaliwa kijeshi!

Kurudi kwenye Mada yangu ni kwamba, nataka Chadema waonyeshe walichofanya, na sio kuniambia kwamba kutaja orodha ya Mafisadi ndio kunatosha kusema kwamba wao ni bora kuliko CCM, waseme kwa mfano kuna Halmshauri wanaziongoza, Je wamefanikiwa kwa kiasi gani ukilinganisha na Halmashauri zinazoongozwa na CCM usinitajie Moshi mjini, Moshi iko jinsi ilivyo kabla hata upinzani haujazaliwa Tanzania, yaani mimi kama mwananchi nataka niseme Halmashauri fulani mambo yake mazuri ukilinganisha na Halmashauri yangu kwa sababu inaongozwa na Upinzani, hiyo ndio baadhi ya mifano ninayoitaka kuiona, na sio sijui Lowasa fisadi na blah blah

[/QUOTE]

Sijui km wewe ni mwingi wa kujisomea naona uhaba mwingi sana wa ufikiri km point yangu ya Kenya unasema ni viongozi wale wale Mbowe, Slaa,Lisu wote walikua CCM sasa kma hilo ndilo unalolikubali kulikua na haja gani ya kuutaka ufafanuzi wa nini CHADEMA wamefanya kuonyesha uwezo wao ! kifupi tu nakujibu kwa stailli yako kuwa si walikuwa CCM wakahamia CDM?

Una hakika kuwa hakuna tofauti ya maendeleo ya watu kwa tathmini yako kuwa Afrika ya Kusini hii si bora kuliko ya makabu utu? Hebu tijikite ktk hili je ni kweli unayoyasema...., hivi ktk uelewa wako unadhani serikali ya sasa yenye kufuata misingi ya Demokrasia na ile ya Makaburu ya Ubaguzi isiyo na Demokrasia ndio yenye mwelekeo wa tija? hapa tena nikifuta uelewa wako huu haja hii itatakua imekufa kwani unataka kujua CDM imefanyika nini ktk mfumo wa kidemokrasia sasa km hauamini ktk Democrasia unawezaje ukayanyumbulisha wanayoyafanya CDM...? Mfano wako wa polisi Afrika ya kusini kutumia nguvu ni kweli ulitokea .... la kujiuliza je baada ya tukio baya vile serikali haikuwajibika kwa wananchi wake kisheria na je hatua za kisheria zililindwa...na je wakati wa Ubaguzi nani angeweza kupewa haki? Mwananchi? hii ndio tofauti ya kiutawala km ulishindwa kuona hili basi....!

Umerukia ya Kenya utafikiri umetumia umakini...eti kwakuwa Kenyata na baadhi ya viongozi walikuwa KANU basi inatosha kuwa na utayari wa kutawala mbona hausemi Mbowe, Dr. Slaa, Tundu Lisu na wengine walikua CCM hivyo wanao huo utayari wa siasa ...eti Kenyata chama chake si kipya kwa sababu hiyo hiyo ya yeye kuwepo KANU basi km hilo ndio uelewa wako unashindwaje kuamini CDM nao wana sifa km za JUBILE

Ghana vyama tofauti vimechukua maduara kwa kupotezana Leo fedha yao iko juu moja ya ishara za maendeleo

Ambacho CDM imekifanya kubwa ni kusimamia na kuzuia ufujaji wa fedha za uma..,hili limefanyika sana kwa namna moja au nyingine ktk halmashuri nyingi chini ya upinzani...nini maana yake km ufujaji utadhibitiwa makusanyo ya kodi ya mapato yatakuwa na tija hivyo kupunguza kasi ya ongezeko la kodi ambazo hupunguza mapato ya wananchi na kuongeza uduni wa familia za kitanzania ... kazi ya kumlinda mwananchi wa chini hua haina muonekano wa wazi km ilivyo kwenye barabara za lami na maghorofa makubwa tumeaminishwa hayo ndiyo maendeleo sasa juhudi za kumjenga mwananchi hazitizamwi km juhudi za kimaendeleo.

Jingine ambako ndio baya kuliko ni hili la serikali kuu inayosimamiwa na CCM kushinikiza serikali za mitaa kutekeleza ilani ya uchaguzi ... Ukisoma kwa makini hata itikadi ya CCM yenyewe inataja kuwa .... ili serikali za mitaa ziweze kuyafikisha maendeleo kwa watu ni lazima kusiwepo mwingiliano kt ya serikali Kuu na serikali ya mitaa USIWEPO hata kidogo ... la ajabu, makusanyo ya kodi za halmashauri (serikali za mitaa au local governments) kwa u jumla wake zinapelekwa Serikali kuu ili zipangiwe matumizi na kubwa hapa ni fedha kwaajili ya utekelezaji Ilani ya Uchaguzi ambayo mgombea urais aliahidi wakati huo huo madiwani nao wametengeneza maombi ya shughuli za kimaendeleo waliotumwa na wananchi wao sasa hapa mgongano na mvutano unaanza ... Rais anaweza kuahidi daraja Singida fedha zitatafutwa kodi itapanda magulioni ili hela ipatikane kujenga daraja... Mwananchi anakosa hamu ya kuyataka maendeleo kwani mzigo unakua mkubwa sana...Mwananchi anakata tamaa bado michango ya madarasa bado ya zahanati na yote hayo ni nje ya kodi inamuandama yeye tu.... anajikuta anajitoa saaana kwa serikali yake lakini kwa kuathiritija binafsi km mzalishaji mali huku fedha ambazo itoa zinatumika vibaya bila tija...huku lindi la umasikini kumkabili...bado kuna sera km "Kilimo kwanza" sera inayomnyang'anya mwananchi huyo huyo ardhi ambayo ndio chanzo cha mapato yake na kupewa wawekezaji wakubwa utaratibu ambao hata washirika wakubwa wa CCM nchi ya China haikuwa mafedhuli namna hii kwa watu wake. China iliwaunganisha hao hao wakulima wa dogo wadogo ikawapa malengo na Leo wanalisha watu zaidi ya bilioni 1.3, CDM inapambana kuyarekebisha haya....ili kumjenga Mwananchi awe chachu ya maendeleo bila hivyo Mwananchi atakua omba omba na mpuuzi yeyote akiweza kumpa hata maembe ale siku hiyo na familia yake atamchagu akidhani atakua anamlisha kila siku....hizi ndio kazi za CDM

Google.co.tz offered in: Kiswahili

Settings Help
View Google in: Mobile | Classic
Google.com
© 2013 - Privacy
 
si changii make hata ww mtoa hoja unaonekana kibaraka wa ccm.Hv wewe unajiona sawa kusifia chama ambacho ili mama yako awe kiongoz lazma ufunuliwe uchi? kma unabish waulize wakuu wa wilaya.
 
Km kweli unajua historia ya Dr. Slaa naamini ungeipata amekua na tija ndani ya siasa na hata nje ya siasa. Amekua na team ya watu anaowaongoza na tija ikawepo sina haja ya kusa mengi ila naona bado hauna muda wa kusoma kwa ufasaha na kujua ukamilifu wa uwezo wa mtu
Sikurupuki nimesoma vizuri sana, nilichosoma na matamko yake vyote vinasema exactly the way he is so shallow on certain key areas of given a country to lead! Ingawa najua ukivaa mawani fulani huwezi ona chochote... Ungesema hizo taasisi zenye changamoto ambazo he did exercise fully management & leadership.
 
Chama chenye kiongozi asiye na msimamo mpenda dhifa kitaishia kupiga kelele tu na matamko

"To know the enemy is half the victory"
 
Sikurupuki nimesoma vizuri sana, nilichosoma na matamko yake vyote vinasema exactly the way he is so shallow on certain key areas of given a country to lead! Ingawa najua ukivaa mawani fulani huwezi ona chochote... Ungesema hizo taasisi zenye changamoto ambazo he did exercise fully management & leadership.

Unasema umemsoma vizuri na haukurupuki... binafsi hua napenda kujibizana ktk hoja kwamba wote tumejiridhisha ktk kuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu jambo husika lakini ikifikia mahali mimi nakua wa kutoa ufahamu huo .... mara nyingi saaaana mjadala wa aina hii hua inakuja na upungufu na mwisho wake ni kupotezana muda
 
si changii make hata ww mtoa hoja unaonekana kibaraka wa ccm.Hv wewe unajiona sawa kusifia chama ambacho ili mama yako awe kiongoz lazma ufunuliwe uchi? kma unabish waulize wakuu wa wilaya.

viti maalum pale cdm mpk vimezaa totoo.
 
Back
Top Bottom