Operesheni Nusuru CHADEMA,Mbowe na Zitto waong'oke

Operesheni Nusuru CHADEMA,Mbowe na Zitto waong'oke

Status
Not open for further replies.

TECH WIZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
1,675
Reaction score
555
Nikiwa kama mkeretwa mkubwa wa CHADEMA na adui namba moja wa CCM napendekeza Mh Mbowe na Mh Zitto wang'oke katika nyadhifa wanazozishikiria na kuwaachia wengine wengine wenye mapenzi ya dhati kwa Taifa hili takatifu kuongoza jahazi.Ni wakati wa kuwafikiria akina Lissu na Safari kuongoza mapambano haya tuachane na hawa Viongozi vigeu geu.Wakati mwingine huwa nashawishika kuamini kuwa Mbowe anajali zaidi maslahi yake binafsi kuliko maslahi ya Chama na wale wanaokiunga mkono Chama.
 
Onyesha hekima yako na Ficha Upumbavu wako ni sentensi yenye maana kubwa.

Mbowe na Dr Slaa wamewashika pabaya sana nyie magamba ya kobe.
 
Mbona hiyo ni sawa sawa na Operesheni angamiza CHADEMA. Mbowe na Zitto waong'oke kwa sababu ya kutumia haki yao ya kidemocrasia ya kutoa mawazo yao? Sikubaliani na wewe. Hata wewe lakini unatakiwa kung'oka kwa sababu ya kushindwa kuchangia mawazo ya busara ya kuimarisha chama labda kama ni pandikizi la Lumumba.
 
Zzk sawa lakini siyo mbowe wewe

"To know the enemy is half the victory"
 
Mwe....!! nimepita, mkinitaji nibip..
 
Umepiga mswaki kweli ? Kwa haya ulio leta hapa jamvini ni kwa namna gani unajidhihirisha bayana kuwa wewe ni kilaza .
 
Umepiga mswaki kweli ? Kwa haya ulio leta hapa jamvini ni kwa namna gani unajidhihirisha bayana kuwa wewe ni kilaza .

Tafuta kazi ufanye wewe. Saa saba mchana unauliza habari za miswaki!? Utaishi kwa kunyweshwa viroba vya hapo Kinondoni makao makuu hadi lini?
 
Wewe unatafuta kazi Lumumba ya buku 7
 
Onyesha hekima yako na Ficha Upumbavu wako ni sentensi yenye maana kubwa.

Mbowe na Dr Slaa wamewashika pabaya sana nyie magamba ya kobe.

Nakubaliana na ww,combination ya DR.SLAA na MBOWE imesimama sana. Zitto nae kasimama sana,tuache siasa za makundi kama hayo unayoendekeza wewe MOLEMO. Sijashaanga kuona humtaji Zitto ukimsifia kwasababu toka kitambo sana nakufatilia hukuwahi kumcomplement. Na hua nashangaa Dr.akisafiri hamkaimishi ofisi Zitto ilihali itifaki inataka hivyo na Badala yake anamuweka Mnyika. Ondoeni makundi kusonge pembe,chama kingali kichanga tunaanza kutengana! Hii haipendezi katu.
 
Wafuasi wa Mzee Mwanakijiji na Kitila Mkumbo wapo kazini, wanaota mchana sawa na Malawi kuivamia Marekani kijeshi.
 
Nasema zzk hapana kabisa hata kama mbowe kakosea sana ukigeugeu wa zzk ni zaidi ya aikaeli aiseee

"To know the enemy is half the victory"
 
Nikiwa kama mkeretwa mkubwa wa CHADEMA na adui namba moja wa CCM napendekeza Mh Mbowe na Mh Zitto wang'oke.


Tech Wiz: Una kila haki ya kutoa mwazo yako. Lakini ukiwa kama Great Thinker, jitahidi kuimarisha hioja kwa vigezo vya kisayansi. Tupe sababu tano tu za msingi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom