Ulituaidi punguzo la umeme lkn matokeo yake imekua ni kisima cha rushwa.
Mimi ni mkazi wa arusha nimelipia nguzo pamoja na service line kuanzia mwezi wa kwanza lkn matokeo yake nimeambiwa hili...
Kamati ya bunge ya mali asili na mazingira chini ya mwenyekiti wake mbunge wa shinyanga mjini Mh. Lembeli imebaini kuwa serikali imechukua zaidi ya 600m ambazo hazikuizinishwa na bunge na...
Kwenye mikutano ya Kampeni iliyokuwa inafanyika Arusha mjini kwaajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani wa kata nne za Kimandolu,Erelai,Kaloleni na Themi.
Mh.Mwigulu Nchemba(Naibu katibu mkuu wa CCM...
Ndugu wana jf wenzangu na wakazi wa arusha mjini,nimeshangazwa na kitendo cha tume ya taifa ya uchaguzi [nec] na ofisi ya mkurugenzi wa jiji la arusha mjini kwa kitendo chao cha kutokupitisha...
Leo nimesoma jibu la Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Pereila Ame Silima kwa swali la Mbunge wa Mheza Helbert Mtangi, kuhusu suala la uraia wa nchi mbili, nikaishia kuisikitikia sana...
Wandugu naomba mnisaidie kitu kimoja tunasikia meno ya tembo yana bei juu sana, Sasa nauliza haya meno yanayokamatwa yamefikia tani ngapi? hadi leo, Kama kuna soko basi naishauri serekali iyauze...
Habari za majukumu wanajamvi!
Mimi mkazi wa Morogoro. Nimemaliza chuo mwaka huu na nimekuako mstari wa mbele katika kusimamia maslahi ya wenzangu niwapo katika msafara wangu wa elimu mpaka...
Pole na majukumu ya kitaifa,mh rais kijiji cha Mtera kina matatizo mengi sana lakini kubwa ni la utafunaji wa fedha za miradi mfano tulikuwa na saccoc ina mtaji wa zaidi ya sh. Milion mia...
Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi
baada ya kuanguka kwa ukuta wa Berlin na
kusambaratika kwa ukomunisti Ulaya Mashariki
na Urusi. Nchi za magharibi zinazotoa misaada
ziliweka...
Mbunge wa Gando,HALIFA S. Halifa,pamoja na mwakilishi wa Gando,wamepokea misaada kwa ajili ya yatima na wajane wa jimbo hilo ikiwa ni maandalizi ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kutoka...
Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima juzi kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Abdul Dollah, alisema mabadiliko hayo...
WARIOBA AMEJIBU HOJA ZA KUPINGA MAONI YA SERIKALI TATU…AMBAPO CCM NA PROFESA SHIVJI WAMEKUWA WAKIPINGA HOJA HIYO WAKIDAI ITAVUNJA MUUNGANO..
MWENYEKITI wa Tume ya mabadiliko ya Katiba...
Mwigulu anatafuta faida ya kisiasa dhidi ya CHADEMA, kupitia tindikali aliyomwagiwa Tesha ilihali kuna ushahidi wa wazi wa ushiriki wa wanaCCM katika tukio la tindikali?
Kama polisi kweli...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akiwasili katika mkutano huo kwa helkopta.
Wataalamu wa Mabomu kutoka China wamewasili nchini na kuendelea na uchunguzi wa mlipuko wa bomu kwenye Mkutano wa...
Ndugu zanguni,
Imepita miaka mitatu sasa toka uchaguzi mkuu uliopita na nadhani sasa ni wakati muafaka kuanza kuwauliza wabunge wa chadema walioutuahidi maziwa na asali kuwa wametuletea nini...
Toka jikoni, TEO wa halmashauri ya mji wa Tunduma AIDANI MWANSHIGA akubali kuweka rehani kazi yake baada ya mhasibu wake ARTHUR KAFANABO kuchukua rushwa toka kampuni ya VIDOBA ya mkazi wa dsm...
By January Makamba
Dear President Obama,
Welcome back to Africa – where all humanity began. We have been expecting you for some time.
You are visiting the continent at its most...
Ndiyo wakuu !
Kwa taarifa zilizo nifikia muda huu toka kwa Katibu wa cdm wilayani geita, ambaye ni mbunge kivuli jimbo la geita , kamanda Rogers Mwana wa Ruhega ni kuwa yuko polisi geita...
WANACHAMA wa chama cha wananchi (Cuf ) tawi la Matapwa Jimbo la Mchinga wamekiama chama hicho na kuamia chama cha mapinduzi huku wakiliacha tawi ili likibaki na wanachama wawili akiwemo...
Tanzanite miner at the Mererani mine in northern Tanzania. The mineral audit agency said between 60 and 75 per cent of all tanzanite production is undocumented. Photo/FILE AFP
By ADAM IHUCHA...