CCM mjiandae kuachia Madaraka 2015

CCM mjiandae kuachia Madaraka 2015

TECH WIZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
1,675
Reaction score
555
Matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Madiwani Jijini Arusha yametoa ishara kali kwamba CCM watakuwa na hali ngumu sana katika Uchaguzi mkuu ujao 2015.Kundi la Wapiga kura linalotishia nafasi ya Chama Tawala kuendelea kuwepo madarakani ni Vijana kati ya miaka 18 hadi miaka 45 kundi ambalo asilimia kubwa liko nje ya ajira.Kwa lile liloko ndani ya ajira na lenyewe pia lina kero zake sugu;Yaani kodi kubwa ya mshahara(PAYE),Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma,Nakadhalika.Halafu kuna hili kundi la vijana ambalo limechoka tu kutawaliwa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi.Kundi hili linatamani tu kuona mabadiliko ya Uongozi katika ngazi zote za Utawala.Makundi haya ndiyo yamekuwa siri ya mafanikio ya CHADEMA kule Jijini Arusha na ndiyo makundi ambayo yameshikilia ufunguo wa Ushindi wa CHADEMA kwaajili ya Uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015.Najua CCM wanahaha sana kutaka kuiteka ngome hii muhimu ya CHADEMA hususani ile inayo-include Wafanyakazi kwa kuwaahidi ongezeko la Mishahara kwa lengo la kuwarubuni tu kupata kura zao.
 
Ukweli mtupu labda wawekwe madarakani na Green rebels kama kawaida yao kwa kutesa watu,kuiba kura na kuzichakachua kwa rushwa au mkono wa chuma na damu-but all in all peoples sovereignity decide

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Walifikiria kumleta Obama ndio suluhisho.... Pole sana magamba.
 
Dalili ya mvua mawingu. Labda EL aende Thai kununua upepo mkali kufukuza mawingu. C aliahidi kutununulia mvua kipindi fulani? Sasa wamekwisha.
 
Ahahhaahhaahah inafurahisha mkoa mmoja ndio uchukue urais.mbn kitukoooo
 
Back
Top Bottom