Tangazo La TPDC..Kuhusu kupeleka Mabomba yakusafirishia Gesi Kutoka Mtwara!!

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,869
Wakuu,

Nimesikia hili Tangazo la kupeleka mabomba yakusafirisha Gesi kutoka Mtwara..
Ni kwanini wanafanya hili zoezi wakati huu?

Serikali ya JK ni ya Ajabu sana!
Wanaona Tupo kwenye mwezi mtukufu wao ndiyo wanapeleka Mabomba!

ILE GESI HAITATOKAAA..
MPAKA MKUBALIANE NA WANANCHI!
TUONE MABADILIKO YA KWELI...

Nguvu nyingi inayotumika kuitoa ni ishara ya udikteta..
Tanzania is not a democratic state any more...

WANATUMIA NGUVU KUNUFAISHA MATUMBO YAO.....
MUNGU IBARIKI TANZANIA..
MUNGU TUANGALIE WANAMTWARA, TUNATESEKA KWA AJILI
YA KUTETEA MAENDELEO YETU..
MUNGU USIWAACHE HAWA WANAOTUTESA NA KUTUIBIA NA KUTUPIGA KUKUBWA...
NA AMINI MUNGU UPO TUNAKUOMBA UJIBU MAOMBI YETU..
 
Kwani hata ikitoka si inabaki hapa hapa nchini? Wanaipeleka wapi zaidi? Acha itoke, tuache kumwagana damu.
 
Wakuu,

Nimesikia hili Tangazo la kupeleka mabomba yakusafirisha Gesi kutoka Mtwara..
Ni kwanini wanafanya hili zoezi wakati huu?

Serikali ya JK ni ya Ajabu sana!
Wanaona Tupo kwenye mwezi mtukufu wao ndiyo wanapeleka Mabomba!

ILE GESI HAITATOKAAA..

Nguvu nyingi inayotumika kuitoa ni ishara ya udikteta..
Tanzania is not a democratic state any more...

WANATUMIA NGUVU KUNUFAISHA MATUMBO YAO.....
MUNGU IBARIKI TANZANIA..
MUNGU TUANGALIE WANAMTWARA, TUNATESEKA KWA AJILI
YA KUTETEA MAENDELEO YETU..
MUNGU USIWAACHE HAWA WANAOTUTESA NA KUTUIBIA NA KUTUPIGA

KUKUBWA...
NA AMINI MUNGU UPO TUNAKUOMBA UJIBU MAOMBI YETU..

Hivi mwezi mtukufu serikali huwa haifanyi shughuli zake? Ni lini serikali ilishindwa kutimiza majukumu yake haramu na halali?
 
Kwani hata ikitoka si inabaki hapa hapa nchini? Wanaipeleka wapi zaidi? Acha itoke, tuache kumwagana damu.

mradi wanaoufanya wao ni wakifisadi mkuu, hakuna haja ya kuisafirisha gesi kwenda Dar
na kujenga plant huko, hayo yote yangewezekana kufanyikia hapa hapa..
Tunaibiwa sana mkuu na hii siyo watu wa Mtwara tu ila ni Watanzania wote..
Kumbuka huu mradi unafanyika kwa mkopo toka bank ya uchina..
We unadhani mlipaji ni nani?
 
Juzi kati nilibahatika kufika Mtwara kikazi...I landed with PW401 from Dsm!..ndege nilizozikuta ktk uwanja wa Mtwara nilistuka sana..nimekuta mandege ya Urusi aina ya Antonov na Illusion yakishusha mizigo,tena mizigo ya maana..lakn kukawa na ndege za kifahari aina ya Gulfstream 4 n' 5...zaidi ya nne..ikanipa picha kuwa sasa Mtwara ni focal point ya mabeberu
 
Bora wa zamani waliotoa dhahabu na almasi kwa gololi za mzungu.....
 
Juzi kati nilibahatika kufika Mtwara kikazi...I landed with PW401 from Dsm!..ndege nilizozikuta ktk uwanja wa Mtwara nilistuka sana..nimekuta mandege ya Urusi aina ya Antonov na Illusion yakishusha mizigo,tena mizigo ya maana..lakn kukawa na ndege za kifahari aina ya Gulfstream 4 n' 5...zaidi ya nne..ikanipa picha kuwa sasa Mtwara ni focal point ya mabeberu

Kuna mijitu hapa jf inatia uchungu! wao nikutetea uovu na wizi wa ccm. wanananchi hataki na wao wanarazimisha. Hivi nini kitatokea?
 
mradi wanaoufanya wao ni wakifisadi mkuu, hakuna haja ya kuisafirisha gesi kwenda Dar
na kujenga plant huko, hayo yote yangewezekana kufanyikia hapa hapa..
Tunaibiwa sana mkuu na hii siyo watu wa Mtwara tu ila ni Watanzania wote..
Kumbuka huu mradi unafanyika kwa mkopo toka bank ya uchina..
We unadhani mlipaji ni nani?

hivi kweli nyie vichwa ngumu,mshaambiwa gesi inasafishwa huko huko mtwara huku inakuja ikiwa tayari kwa matumizi but bado mnapotosha tu.hivi hata hayo matumizi ya gesi mnayajua kweli au ni kwamba na nyie mnataka kuonekana tu kumbe ziro brain!!!!wenzenu wanajenga bomba kwa maelfu ya km kufuata wateja tena nchi tofauti na yao nyie mmebaki haitoki haitoki mnataka mtumie kupikia mawe au?hata mkipikia mawe yataisha yote then mtaanza kubanikana wenyewe!!!!!?????
 
Kwa CCM hii, watu wa Mtwara na Lindi mmeumia!. Na tunawasubiri hiyo 2015 kama mtatimiza azma yenu ya kuikataa CCM!
 
hivi kweli nyie vichwa ngumu,mshaambiwa gesi inasafishwa huko huko mtwara huku inakuja ikiwa tayari kwa matumizi but bado mnapotosha tu.hivi hata hayo matumizi ya gesi mnayajua kweli au ni kwamba na nyie mnataka kuonekana tu kumbe ziro brain!!!!wenzenu wanajenga bomba kwa maelfu ya km kufuata wateja tena nchi tofauti na yao nyie mmebaki haitoki haitoki mnataka mtumie kupikia mawe au?hata mkipikia mawe yataisha yote then mtaanza kubanikana wenyewe!!!!!?????

Sometimes huwa naona kama Pinda alikuwa sahihi manake kuna mijitu mingine haina dawa zaidi ya KIPIGO. Hivi itumike lugha gani ya kuwafanya wauza korosho waelewe kwamba BIDHAA haina maana kama hakuna WATEJA?

Kuna moja lao linajifanya lenyewe ndio lina uchungu saana, linajiita Ze Big Show, halina show yoyote zaidi ya kuongea ujinga hapa mtandaoni. Katika hili la Gesi, ACHA WAPIGWE, tena wapigwe hasa hadi akili ije
 
---- you nigger!!!! why u talking facking shit as if you are nothing but ----ing devil or dead body. is someone kick your anus, how much u're paid for ur utturance, just think about people who dead for mtwara's gas, just think for majority who lost their resident and habitat because of mtwara's gas, ---- you!!!! if u dont have any thing to publish just shut your fuken mouth.... thanks i think u have understand
 
hivi kweli nyie vichwa ngumu,mshaambiwa gesi inasafishwa huko huko mtwara huku inakuja ikiwa tayari kwa matumizi but bado mnapotosha tu.hivi hata hayo matumizi ya gesi mnayajua kweli au ni kwamba na nyie mnataka kuonekana tu kumbe ziro brain!!!!wenzenu wanajenga bomba kwa maelfu ya km kufuata wateja tena nchi tofauti na yao nyie mmebaki haitoki haitoki mnataka mtumie kupikia mawe au?hata mkipikia mawe yataisha yote then mtaanza kubanikana wenyewe!!!!!?????

sa mbona unauliza na kujijibu mwenyewe imekuaje tena?
 
---- you nigger!!!! why u talking facking shit as if you are nothing but ----ing devil or dead body. is someone kick your anus, how much u're paid for ur utturance, just think about people who dead for mtwara's gas, just think for majority who lost their resident and habitat because of mtwara's gas, ---- you!!!! if u dont have any thing to publish just shut your fuken mouth.... thanks i think u have understand

ung'eng'e kipaji kumbe
 
Hawa watawala kuanzia Mwinyi mpaka huyu Dhaifu wanachofanya ni kuuza nchi na ukiangalia sasa nchi imewekwa kwenye chekecheke inachekechwa haswa wakimaliza wanaondoka wanaacha Tanzania makapi.
Ukiwaamgalia hawa watawala kwa akili zao za kijinga wanajiona wanajifaidisha wao na familia zao pasipo kujua hao wazungu na wachina wakishavuna wanaondoka hawana shughuli na wewe na isitoshe hiyo hela waliyokupa utairudisha kwao, ukimaliza urais utakimbia utaenda huko kwao hela ileile waliyokupa ndiyo utakuwa unaitumia hukohuko kwao at end unakuwa umemtengenezea mjukuu wako mazingira ya kuosha sufuria huko Ulaya.
 
Airport ya Mtwara sikuhizi iko bussy kupita kiasi, kila siku ndege nyingi zinatua tofauti ilivyozoeleka precision na air Tanzania. Na ukipita mitaani wazungu wa kumwaga,sasa hivi limekuwa eneo muhimu la uwekezaji. Bandarini nako kuna meli kila siku zinapakua mizigo na mitambo mbalimbali. Serikali inapaswa kujisahihisha kwa makosa yalifanywa katika maeneo mengine ya uwekezaji ili tusifanye tena makosa!
 
Back
Top Bottom