CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.

Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.

Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.

Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.
 
Kuna watu wanawashwa washwa. Nukuu ya Mhe. Mabumba aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge.
 
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.

Chadema wanasema Arusha undiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.

Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.

Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.

Mi nikisema wametumia billion 1.5 utabisha? Maana unaleta taarifa haina hata evidence yoyote..hujatumia hata logic guesing angalau km aliyokuwa akitumia mwigulu..hujaonyesha chanzo cha habari..unaweka kiwango tu..nobody will trust you.
 
Kumbe wewe ni miongoni mwa wale ambao Mhe.Kikwete alisema wanamiliki viwanda vya uongo, karibu sana JF na jisikie upo ugambani!
 
Mshume Kiyate nasikia unawashwa washwa kweli kweli!
Hebu niPM kama kuna uwezekano nikakuzungukia chap nikupatie tiba mbadala mtumwa weee!
Mipumbavu kama wewe niwa kuwawapigilia tu!
 
Last edited by a moderator:
Angalau wametumia kwenye uchaguzi
hela yote itakuwa imewarudia wanchi
nenda mwulize boss wako hela zilizo fichwa Swiss vipi
zitarudi lini?
wanyama wetu watarudi lini?
Tembo wetu wataachwa kuwawa lini?
Ufisadi utakoma lini n.k
 
Umekodiwa na CHADEMA uwafanyie retirement? Umbeya huu jamani! Sijui wewe ni mdada au Mkaka ila ujitizame hapo ulipo na ujionee aibu kwa uzushi!

Ehe.. na CCM walitumia ngapi? Maana unapoleta umbeya jaribu hata kueleza na upande wa pili! Tueleze CCM walitumia bei gani:
Kuhonga,
Kununua shahada,
Kuagiza mabomu toka China, kukodi mlipuaji na kuwalipa policcm kuhakikisha bomu linalipuliwa na mlipuaji hakamatwi, Gharama za kumkodi Tesha mliyezunguka mkidanyanga naye kuwa CDM walimmwagia atindikali ili CCM ionewe huruma
....the list continues
 
Watanzania tujitokeze kwa wingi kutoa maoni yetu kwenye mabaraza kwenye katiba mpya serikali waondoe utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa.
 
Wana JF,
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema) kimetumia zaidi ya milioni 950 katika uchaguzi wa kata nne Arusha.

Chadema wanasema Arusha ndiyo ngome yao kulikuwa na haja gani kutumia kiasi kikubwa cha pesa/Chopa/Magari ya M4C/Pikipiki za M4C.

Habari za ndani kutoka Chadema zinasema kulikuwepo ulipanaji mkubwa posho kwa viongozi na wafuasi wa Chadema inasemekana zimetumika zaidi ya milioni 500 kwa matumizi ya posho tu.

Hali hii mmetumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye ngome yenu je maeneo mengine mtatumia kiasi gani.

mi hizi akili ndogo kutaka ku overtake akili kubwa sijui linatoka wapi by the way mlango utafungwa kakojoe ulale ndo uendeleze your idiot shit.
 
Umekodiwa na CHADEMA uwafanyie retirement? Umbeya huu jamani! Sijui wewe ni mdada au Mkaka ila ujitizame hapo ulipo na ujionee aibu kwa uzushi!

Ehe.. na CCM walitumia ngapi? Maana unapoleta umbeya jaribu hata kueleza na upande wa pili! Tueleze CCM walitumia bei gani:
Kuhonga,
Kununua shahada,
Kuagiza mabomu toka China, kukodi mlipuaji na kuwalipa policcm kuhakikisha bomu linalipuliwa na mlipuaji hakamatwi, Gharama za kumkodi Tesha mliyezunguka mkidanyanga naye kuwa CDM walimmwagia atindikali ili CCM ionewe huruma
....the list continues

Matumizi mabaya ya ruzuku, sijui kama unajua kuwa hizo ni pesa zetu watanzania tuna haki ya kuhoji.
 
[QUOTE=Mshume Kiyate;Ndio naona post yako leo kumbe na ww i Lumumba members?Wenzio toka jana na leo sijaona post zao cc HAMY~D(CHLIS LUKOS)(CHILL SAUSE)SIMIYU ONE)MWABEJA SANA)vijana wenzangu mmepotea sana anyway ha2jui labda wenzetu???????????????????????????????????????????????????mnafadhiliwa.
 
Back
Top Bottom