Gazeti la mwananchi lina habari kuwa CCM wametoa Waraka wa Kupinga Rasimu ya Katiba Mpya kama ilivyotolewa na Tume ya Jaji Warioba.
Kama kawaida yao, wametoa sababu za kufikirika sana na zaidi ya...
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi ambayo ina...
Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana...
Huu mfumo mpya wa serikali kubuni kodi mpya na kisha kusema zitaelekezwa kusaidia sekta fulani za kimaendeleo. Je hii ni ishara ya dhamira ya dhati ya serikali kuelekeza nguvu kwenye matatizo...
Kuna debate kuhusu suala zima la kodi ya chip ya simu. Mjadala huu kwa bahati mbaya sana umevamiwa na wanasiasa ambao wameamua kuuhijack kwa ajili ya kuvutia kisiasa upande wao. Hata hivyo pengine...
Kwa taarifa kutoka Ileje,Momba na Mbozi zinasema mshutumiwa namba moja wa kutaka kupeleka makao makuu ya mkoa wa Songwe Mkwajuni huko Chunya ni naibu waziri wa elimu na mbunge wa jimbo la Songwe...
ndugu wana JF hatua tuliofikia sasa hivi kwenye mchakato wa katiba mpya ni kukutana kwa mabaraza ya katiba na kutoa maoni waliopendekezwa na wananchi kuhusu rasimu ya katiba mpya iliyotolewa na...
Kama Tendwa Mungu basi aifute CHADEMA tuone
Lula wa Ndali Mwananzela
Toleo la 307
17 Jul 2013
HAKUNA ulevi mzuri; ulevi ni ulevi tu. Uwe ulevi wa wanzuki, tembo, ulanzi au konyagi ulevi ni...
CCM wasambaza waraka wao, wapinga rasimu ya Katiba Mpya
Wafuasi wa CCM, wakiwa katika moja ya shughuli za chama hicho. Picha ya Maktaba
Kwa ufupi
CCM imeamua kutumia wanachama wake...
Kamati hiyo ilibaini madudu hayo baada ya kukutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mamlaka ya Bandari (TPA) na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA).
Hata hivyo...
Wananchi ndani ya Mkoa wa Kigoma wamejipagna vilivyo kukitupilia mbali chama cha CCM mwaka wa uchaguzi mkuu 2015 kwani kimeshindwa kutekeleza mipango yake juu ya Mkoa huu tokea enzi zaTANU...
Tuunde sanamu na vinyago,
tusifanye usanii katika siasa
Raia Mwema Toleo la 302
10 Jul 2013
SANAA ni kipaji ambacho mtu anaweza kuwa nacho kwa kuzaliwa, kusomea ama kuiga kulingana na...
:yield:SERIKALI IMETANGAZA VITA KATI YAKE NA WAALIMU baada ya kupuuza kuwaongezea mishahara.
Wakuu mnalela dharau kwa WAALIMU SIO?sasa subirini muone matokeo ya f4 2013...
Waalimu kazi ni...
Wakuu,
Naona tunatumia muda mwingi kusign hizi petition ambazo hazina athari zinazotakiwa. Nilipokuwa masomoni Marekani, nilifundishwa mbinu moja nzuri ya uanaharakati, lakini nawamegeeni hizi...
Leo ilikua ni siku ya aina yake kwa mkoa wetu wa Singida hususani jimbo la Singida Magharibi baada ya wananchi wengi kufulika kushuhudia kuapishwa kwa diwani mpya wa kata ya Iseke,Emmanuel...
Wana JF
inaonekana wazi kwamba sasa Tz inaanza kupezuki kisiasa. Ripoti hii inatupa sisi Wazanizbar burudani masikioni na moyoni mwetu tukijuwa sasa uhuru wetu umekaribia.
Nanukuu makala haya...
Nimesoma kauli ya Mbowe kama ilivyonukuliwa katika gazeti la Tanzania daima, kwa kweli nimefarijika sana. Na nimejiridhisha kwamba Mbowe ni kiongozi wa ukweli. Maneno haya ya Mbowe, hayawezi...